Projects za Yanga na Simba ni mwiba kwenye maendeleo ya Nchi

Projects za Yanga na Simba ni mwiba kwenye maendeleo ya Nchi

The branding

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
269
Reaction score
368
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana serikali ifanye maendeleo nikuhakikishie tuu tungekuwa donor country🤣
 
Project CCM= Yanga na Simba

Cha msingi ni wew kujituma na kuachana na stori zao. Wote hatuwezi kunufaika na Simba na Yanga

Every man for himself...
 
Back
Top Bottom