Promoters nipeni show, Hatuwezi shindwa kwenda congo, Burundi au Rwanda tukakosa pesa

Promoters nipeni show, Hatuwezi shindwa kwenda congo, Burundi au Rwanda tukakosa pesa

"...Mnapamga na promota mkutane face to face,
kuamini huwezi ukimwona tu unampa kesi,
promota majalala ana suti chini ana ndala,
sekunde chache tu eti anagongea sigara,
muda unavyokwenda promota anasema hajala..."
 
Muziki ni promotion wakifanya vizuri tickets zinaisha mapema.

Kwenye shoot usisahau kuwarusha wadau wa jamii forum.
Kaka hawa wajuaji sitaki kuwashirikisha Kwa chochote hawa unaweza korofishana nao kidogo tu wakakupeleka mahakamani, uwalipe fidia, nawajua kaka
 
Back
Top Bottom