kwa mvulana 20+yrs alie na mademu 32 hawezi na haitatokea kumudu wake wanne in his early 30's -40 yrsHahaaaa mkuu nataka nifikishe wanne
Mbitiyaza,
Jje's,
Butogwa shija,
Shunie
Ni sa ngap hapo london ...unaishi mtaa gani, uko karibu na niniKwa sasa niko london mkuu nanyupu nishaondoka kitambo sana
Wewe subiri nije kukutongoza maana hamna namna...RRONDO anajishauaga mwee!
Kujishaua kwako na kutongoza vinahusiana vepee?Wewe subiri nije kukutongoza maana hamna namna...
Labda kama umeamua kuyakatisha maisha yakoMkuu hawo ndo nawapenda kwa moyo wangu wote hivyo nitadumu nao
Kunitaja tu umenisisimua...Kujishaua kwako na kutongoza vinahusiana vepee?
Jibu swal ni sa ngap hapo london ?! Na kuna hali gani ya hewa hapo londo sasa hivi , huo mtaa wa st peters unapakana na nini ....ndo mnadangayia wadada kwamba mko londonNiko mtaa wa st peter mkuu
Mkuu nipo karibu na ruminus univesity kwa sasa huku ni asubuhJibu swal ni sa ngap hapo london ?! Na kuna hali gani ya hewa hapo londo sasa hivi , huo mtaa wa st peters unapakana na nini ....ndo mnadangayia wadada kwamba mko london
Sio wote mkuuNdo hivo mkuu mademu wa mtandaon ni pasua kichwa
Kuna sehem inaitwa paco domingway unaifahamu?!Mkuu nipo karibu na ruminus univesity kwa sasa huku ni asubuh
Chill out mkuu...I was speaking in a jestKunitaja tu umenisisimua...