Kalime kabisa mkuu mmoja ni homboy ambaye donlucchese rrondo ni shemej yangu ana mdogo wake wa kike yuko ulaya masomon namsubirOhoo basi kama wewe una undugu na hao uliowataja vizuri! endelea kuwafatilia nduguzo,ngoja nichukue jembe nkalime mie hahahah
SamahaniMimi who?
Sawa mkuu wakati wa mavuno nitakukumbuka angalau debe moja hahahahKalime kabisa mkuu mmoja ni homboy ambaye donlucchese rrondo ni shemej yangu ana mdogo wake wa kike yuko ulaya masomon namsubir
Kwahiyo wewe nenda kabisa ukalime sisi ni wana ukoo
Samahani ya nini?Samahani
Hapo lazima afurahi.BMW niliuza nimebaki na Boxer BM 150
Nilijua wewe ndo anaekuzungumzia, ndo maana nkauliza ni wewe!!!??? Ulivyouliza tena nikaona isiwe kesi,ndo maana ya samahani!!Samahani ya nini?
Haya kunywa Novida hapo kwa mgosi nakuja kulipa.Nilijua wewe ndo anaekuzungumzia, ndo maana nkauliza ni wewe!!!??? Ulivyouliza tena nikaona isiwe kesi,ndo maana ya samahani!!
AsanteHaya kunywa Novida hapo kwa mgosi nakuja kulipa.