Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #141
Kalime kabisa mkuu mmoja ni homboy ambaye donlucchese rrondo ni shemej yangu ana mdogo wake wa kike yuko ulaya masomon namsubirOhoo basi kama wewe una undugu na hao uliowataja vizuri! endelea kuwafatilia nduguzo,ngoja nichukue jembe nkalime mie hahahah
Kwahiyo wewe nenda kabisa ukalime sisi ni wana ukoo