Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Ohoo basi kama wewe una undugu na hao uliowataja vizuri! endelea kuwafatilia nduguzo,ngoja nichukue jembe nkalime mie hahahah
Kalime kabisa mkuu mmoja ni homboy ambaye donlucchese rrondo ni shemej yangu ana mdogo wake wa kike yuko ulaya masomon namsubir

Kwahiyo wewe nenda kabisa ukalime sisi ni wana ukoo
 
Kalime kabisa mkuu mmoja ni homboy ambaye donlucchese rrondo ni shemej yangu ana mdogo wake wa kike yuko ulaya masomon namsubir

Kwahiyo wewe nenda kabisa ukalime sisi ni wana ukoo
Sawa mkuu wakati wa mavuno nitakukumbuka angalau debe moja hahahah
 
Nilijua wewe ndo anaekuzungumzia, ndo maana nkauliza ni wewe!!!??? Ulivyouliza tena nikaona isiwe kesi,ndo maana ya samahani!!
Haya kunywa Novida hapo kwa mgosi nakuja kulipa.
 
Back
Top Bottom