Mi nimeamua kukuunga mkono ingawa sina ushahidi 100% na ulichofundisha.
be enlightened mkuu...you 're the choosen one also..Mi nimeamua kukuunga mkono ingawa sina ushahidi 100% na ulichofundisha.
Mi huwa naamini kisichoaminiwa na wengi na huwa siamini kinachoaminika na wengi. Na ukijiona umepata elimu isiyoaminika na jamii, ujue your chosen one.
Sent using Jamii Forums mobile app
well said mkuu.....Mkuu lifecoded, nina wazo nataka niwashirikishe wana jamii Intelligence, hususani wenye elimu mbalimbali ambazo haziaminiki tuunde kundi letu ambalo tutakua tunafundishana yasioaminika na kueleweka na sehemu kubwa ya jamii.
Kuna utofauti mkubwa wa kiakili huwa naouona kwa watu wanaopata elimu kama hizi. Na nyingi ya elimu kama hizi huwa hazipo darasani.
Hivyo nimekuona wewe ni mmoja wapo, kwa kuwa unaamini katika yasioonekana. Binafsi huwa napenda kubadilishana mawazo na watu wa kaliba hii.
Kwa upande wangu mi ni mwalimu wa masuala ya unajimu (Astrology). Ni moja ya elimu isiyoeleweka na kutokukubalika kwa kiasi fulani.
Hivyo kwa yeyote mwenye elimu za aina hii kama vile; ALIEN, KABALAH, UNAJIMU, n.k. kupitia uzi huu tuungane tuunde kundi letu wenyewe., hata kama ni uongo tuendelee kuongopeana sisi kwa sisi.
Sharti la kujiunga muhusika na elimu ambayo imetimia mwanzo wake mpaka mwisho.
Mwisho naomba kwa kutoka nje ya mada, nimeona uzito kuanzisha uzi mpya.
HATUKUA NA ADA YA FEDHA, KIINGILIO CHAKO NI ELIMU YAKO TU.
0782821177.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaziawell said mkuu.....
but kupitia jamii intelligent nadhani hata wasioamini haya mambo watapata muda zaid wa kufanya tafiti zao juu ya haya mambo make tukiwatenga nadhani watakosa njia mwafaka wa kutoka nje ya box..
The problem is ,we dont make our mind receive new things..
But lait kama mwanadamu angekuwa anairuhusu mind yake iwe flexible nadhani angekuwa anajua how reality is..
But umetoa ushauri mzuri snaa...
pengine binafsi ningetoa ombi kwa wana jamvi walio jikita na biblical teachings ,wangejaribu kustudy na kupata views from other sources ku validate updates zao unless otherwise imani itakuwa strictly kwa kile wanachokiamini..
Learn how to learn new things ,make itakufanya uongeze maarifa zaidi..
ulimwengu tunaoishi umejaaa hoax na unreveled truths kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya mwanadamu anaueishi katika mazingira hayo...
kikubwa hata mimi kipindi nipo level flani kielimu kila nililokuwa naelezwa niliamini kuwa ndo jibu na uhalisia wenyewe but the more nilivyoiweka mind yangu kuwa flexible nilijikuta natoka nje ya box na kuwa mtu wa kudigi how things go ...
sometimes imenifanya nidevalue mambo mengi sana ..
moja wapo ya jambo lilinifanya niumize kichwa ni kujua How Pythagorus theorem ya a2 +b2 =c2 ,
sasa nikawa najiuliza hivi kwanini formula nyingi tunazofanyia mazoezi shulrni kwanini hazina application kabsaa kwenye maisha yanayotuzunguka na kuonekana??
kumbe baada ya kuja kugundua ukweli ni kwamba zile formula zimeficha codes kubwa sana za maisha yanayotuzunguka..
life is coded hence lifecoded...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee inamaana wanaweza wakawa wanasoma na kuchangia huu uzi sio?Naskia hao aliens wanauwezo wakujigeuza na kufanana na raia na wapo pamoja nasi!!
we need some proof on that...Pamoja na theory yako ya DNA na aliens no vizuri ukajua kuwa Mungu ndiye aliyeumba vinavyoonekana na visivyoonekana thus stay and belief on him
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iliyopo Jamii Intelligent, kuna wakati unatumia muda wako mwingi kuweka bandiko la elimu ambayo haifundishwi chuo chochote.well said mkuu.....
but kupitia jamii intelligent nadhani hata wasioamini haya mambo watapata muda zaid wa kufanya tafiti zao juu ya haya mambo make tukiwatenga nadhani watakosa njia mwafaka wa kutoka nje ya box..
The problem is ,we dont make our mind receive new things..
But lait kama mwanadamu angekuwa anairuhusu mind yake iwe flexible nadhani angekuwa anajua how reality is..
But umetoa ushauri mzuri snaa...
pengine binafsi ningetoa ombi kwa wana jamvi walio jikita na biblical teachings ,wangejaribu kustudy na kupata views from other sources ku validate updates zao unless otherwise imani itakuwa strictly kwa kile wanachokiamini..
Learn how to learn new things ,make itakufanya uongeze maarifa zaidi..
ulimwengu tunaoishi umejaaa hoax na unreveled truths kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya mwanadamu anaueishi katika mazingira hayo...
kikubwa hata mimi kipindi nipo level flani kielimu kila nililokuwa naelezwa niliamini kuwa ndo jibu na uhalisia wenyewe but the more nilivyoiweka mind yangu kuwa flexible nilijikuta natoka nje ya box na kuwa mtu wa kudigi how things go ...
sometimes imenifanya nidevalue mambo mengi sana ..
moja wapo ya jambo lilinifanya niumize kichwa ni kujua How Pythagorus theorem ya a2 +b2 =c2 ,
sasa nikawa najiuliza hivi kwanini formula nyingi tunazofanyia mazoezi shulrni kwanini hazina application kabsaa kwenye maisha yanayotuzunguka na kuonekana??
kumbe baada ya kuja kugundua ukweli ni kwamba zile formula zimeficha codes kubwa sana za maisha yanayotuzunguka..
life is coded hence lifecoded...
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyAisee inamaana wanaweza wakawa wanasoma na kuchangia huu uzi sio?
stupidity at high grade kabsaa...Shida iliyopo Jamii Intelligent, kuna wakati unatumia muda wako mwingi kuweka bandiko la elimu ambayo haifundishwi chuo chochote.
Ajabu unakutana na mtoto wa form one, anayetumia simu ya dada yake anakuletea mambo ya ajabu. Sikatai watu kureson, lakini kuna watu kila elimu inayoletwa kwenye jukwaa wanataka physical evidence. Wanachojua kwamba sayansi haina mipaka, inaweza kufanya chochote. Sayansi ina mipaka yake.
That's why sioni sababu ya kuweka mada zangu mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
we need some proof on that...
tatizo ni hayo mapokeo tunayopewa na watu...open up your mind kuhus uwepo wa mungu...
dont afraid kuuliza uwepo wa mungu kwenye kichwa chako..
dont limit ever your mind to find more proof in that...
utakuwa mtumwa wa jambo lisiloonekana...
the proof ya kusema kuwa mungu yupo ni kwa sababu umezungumzwa na biblia ambayo aliyekuletea yeye kashaiacha miaka mingi...
Una habari kuwa tumebaki tu huku Africa tunaoamini juu ya bible..??
una habari ulaya habari za bible hazipo tena..?
unajua ulaya makanisa hayaoperate kivile..??
una habati ulaya wanaosali ni wachache sana..
Nitakupa mfano hai..
nenda ujeruman kuanzia Western part ,earst mpaka sehemu zingine,no churches,there are few churches na kuwa muumini wa dini yoyote Ujerumani ni gharama kubwa sana..
most makanisa ulaya waumini wake ni members from secret societies ,kwanini ???
waaulize wazungu kwanini kuwa muumini ni gharama kubwa...they will tell you kwanini wanadeviate from bible teachings...
Halfu kitu kingine naomba nikwambie kitu..kati ya mtu mweupe na wew nani kawahi kuwa civilized??
whites or you?
sio kwamba nawakubali waznungu,hapana nataka upate picha halisi..
huwezi ukakurupuka tu ukasema wazungu wameacha mafundisho ya bible ni wajinga??
sio kweli..kama wao walidesign bible wakakuletea ukapata kuamini through those writtings huoni kuwa wameshamove stage nyingine..??
If so,kati ya mtu mweusi na ngozi nyeupe ni yupi ambaye anaishi maisha mazuri in relation na life inavoenda..??
think more on that..
huwezi ukawaona wapumbavu wakti wanakuongoza kwa kila kitu...
Aliyekuzidi kakutangulia pia..
think more on that...
dont be stiff naked to know the reality how the truth dances with the original tunes...
Mkuu naomba kuuliza vipi na wale wanaoamini Qur'an na wao pia ni vile vile kama wanao iamini bible?
Na je mataifa yao ya kiislamu yame ignore dini yao na kufanya kama izo nchi zilizoleta Bible?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,...your brain can perfom at a gigabyte rate pre sec kama ikiactivate kweli hiyo mind au brain yako..Nafikiri dominance yaright vs left brain hemispheres inahusika zaidi kwenye uwezo wa mtu kuliko kusingizia Aliens ambao wapo kwenye movie tu!
Mkuu umeniuliza maswali magumu kama unanishtaki vile😀😀😀mkuu,...your brain can perfom at a gigabyte rate pre sec kama ikiactivate kweli hiyo mind au brain yako..
but unajua kwanini it is difficult kuactivate brain function at a normal circumstances.. ??
hiyo brain unayosemea sijui kuactivate left and right hemisphere nadhani utakuwa unajikita zaidi kwenye mambo ya utafutaji ili uweze kupata kula na kuendelea..
but we are talking about human machine operation brain..iko nyuma sana..
Naomba nikulize kitu ,ukinijibu vizuri nitakuona wew ni civilized..
Naomba unitajie jina la engener anayetengeneza MRI na CT-SCAN ,..
ulishawahi kusikia kuna elimu inatolewa kwa binadamu how to read the body quickly like a mashine..??
una habari kuna kitu kinaitwa artificial intelligent machine??
una habari kuwa now machines are working more efficiently than human active brain though binadamu ndo anaitengeneza hiyo machine...!!
Unajua who stands behind kwenye utengenezwaji wa hizo machine..??
waulize watu wanaosomea mambo ya Biomedical engeneering( Vifaa vya mahospitalini) vinatengenezwaje zaidi watakwambia they learn to know the machine works and how to repair where there is a fault only..
who makes the machine...??
is it human being with his subnormal power ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili huru kama hii inavutia.[emoji122]mkuu,...your brain can perfom at a gigabyte rate pre sec kama ikiactivate kweli hiyo mind au brain yako..