Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Hamna, kwasababu DNA zetu wote ni sawa, ndomana unaweza ukazaliana na binadamu yeyote yule dunia hii, ila huwez kujamiiana na Sokwe (mwenye 99% similarity ya DNA na HomoSapiens).

Sisi hatuwazi kiteknolojia kwasababu tu ya kimazingira (njaa, vita, ukame, elimu duni, LUGHA) kila kitu tunajaribu kufanya kama wao walivyofanya pasipo kufanya kwa jinsi yetu sisi,

Chukulia mfano mchina anayeweza kutumia vitu vilivyomo kwenye mazingira yake kutatua matatizo yake, mfano anaweza akaunda kitu kwa miti kikafanya kazi inayofanywa na mashine yenye engine, sisi africa tuna kila kitu ila tunaambiwa kuwa hivi ni sio sahihi tutumie vile vya nje, vya kwetu ni duni na vibaya, then tunaamini tunafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unahis hakuna waafrica wanaoumiza akili juu ya hayo lakini wanakosa access ya kupata pa kuanzia..??



Sent using Jamii Forums mobile app
 

CIA kwanza tu process ya kuwa fit na kuwa hired lazima inachukua kiasi kikubwa cha nguvu za mwili na akili.
Kingine yaweza kuwa plan mmojawapo kunyamazisha /kubinya uhuru au revenge baada ya Kazi.
 

Mfano mzuri kijana Swoden ! Unadhani wa aina yake wako wangapi? Mwisho wa siku ilikulinda siri lazima stock za zamani ziharibiwe na hiyo ni pamoja na vitendea kazi kama wahusika kuwa wagonjwa.
 
sikia ndgu...hata wazungu nao wapo kama ulivyo wew...seme kama hujawahi kukaaa nje ndo mana unaweza ukawaona kama wanakili snaa kukuzidi...hata huko kwao wanakosa majihu kwanini technolojia inakuwa kwa kasi na wao wanaamini kuna kundi la wenzao wanaodesign yote hayo lakini kujua inakuwa ngumu..

swala sio kuumiza akili..utaumiza akili mara ngapi huna access...??
ndo mana uwepo wa external asistance factot( beings) unaleta maswali juu ya uwepo wa technolojia kubwa ambayo mwanadamu anashangaaa...

inawezekana kabisaa mwanadamu anabaki kuelekezwa nini cha kufanya ndo mana tunaona inversion nyingi lakini kiuhalisia kuna siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mzuri kijana Swoden ! Unadhani wa aina yake wako wangapi? Mwisho wa siku ilikulinda siri lazima stock za zamani ziharibiwe na hiyo ni pamoja na vitendea kazi kama wahusika kuwa wagonjwa.
ndo mana Snowden anajilipua kuuleza umma juu ya siri nzito ambazo mwanadamu anazifanya under directory part kutoka kwa hao usiowajua...

Kuna siri nyingi za kintelligensia ambazo hata snowden mwenyew bado anaogopa kuzisema..trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha mwangaza kinapimwaje.!?

Na kina usahihi kiasi gani.?

Huwa siamini kama mshumaa ni sawa na bulb.

Usahihi tafadhali mkuu nitoe shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndiyo maana unaona baada kazi wengi wao ni wagonjwa! End of usage what you do dump or recycle?
 
Ndiyo maana unaona baada kazi wengi wao ni wagonjwa! End of usage what you do dump or recycle?
kiongozi fikilia ñje ya kuugua kwa sababu ya kelele sijui za mitambo unavyofikilia..

Snowden mwenyewe alikimbia kwa sababu aligundua at the end of the day walikuwa wanamfanya apate mental palsy...

Wale jamaa kukufanya upate cerebral mental palsy ni kitu cha kawaida..lengo ukose mwanya wa kuja kusimulia mengi uliyoyaona...

Ndo mana anatapatapa kutafuta nchi itakayomhifadhi kwa masharti ya kuomba atawasaidia baadhi ya nyaraka za siri..

Babake mwenyewe snowden alikuwa afisa wa ngazi za juu katika idara ya upelelezi marekani ,sasa uliza kilichompata babake Snowden kipindi kastaafu ...

unajua ni ujumbe upi alimwandikia mwanae Edward akiwa bado masomoni kuhusiana na namna ya kufanya kazi na shirika hiko la kijasusi ??

ndo mana nakwambia kuna mengi ya kudig brother...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui umenukuu wapi bandiko lako ila upeo wa kufafanua dhana ya uumbaji na "evolution" bado ni mbichi kabisa kwa ubinadamu wetu huu.

Kuna majaribio ya "cloning" wanyama na watu, lakini chanzo cha uhai wa kiumbe chochote na mmea ni kitendawili kwa upeo wa sayasi ya sasa.

Hivyo basi usijikite kwenye nadharia mitandaoni ila nenda kwenye maabara ufanye utafiti, uje na andiko lako la matokeo ya utafiti huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah labda inawezekana itakuwa ziko nyiiingi kwenye hilo andiko lake kitu ambacho kinadhihirisha ni stori tu kufikirika na mambo ya cinema cinema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kwanza anza kutafuta proof ya hawa alliens/viumbesadikika kama kweli wapo baada ya hiyo proof ndiyo basi urudi kutafuta proof ya wao kuwa na uwezo wa kuumba/kumprogram/binadam.

Kitu kingine utafute pia kujua juu ya viumbe wengine kama wanyama wote na mimea pia fikiria juu ya genetic composition zao na uzihusishe na hao viumbe sadikika huo utakuwa mwanzo wa kumtambua muumba wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha mwangaza kinapimwaje.!?

Na kina usahihi kiasi gani.?

Huwa siamini kama mshumaa ni sawa na bulb.

Usahihi tafadhali mkuu nitoe shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo sio mwangaza uliong'aa au uliofifia, ni umbali ambao mwangaza (light) inasafiri kutoka kwenye chanzo hadi kufika kwenye ukinzani

Mshumaa na bulb zote zinatoa mwanga, na mwanga unasafiri katika spidi ya approx. 2.99*10^8 m/s so ukiambiwa mwanga unatumia muda wa miaka bilioni kusafiri far far away galaxy hadi hapa ndo fanya hesabu upate umbali (umbali = spidi * muda, tumia fomyula hiyo ili usiulize utapataje)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?"
Swali lako linaweza kuwa sio swali sahihi. Kwann usiulize Je, binadamu na aliens hawawezi kuwa wamekuwa programmed na "one maker" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?"
Swali lako linaweza kuwa sio swali sahihi. Kwann usiulize Je, binadamu na aliens hawawezi kuwa wamekuwa programmed na "one maker" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi viumbe wote tumekuwa programmed, na program yetu ni kuja duniani kuishi na kuondoka na kumleta mwingine naye aishi kuendana na jamii itakavyomrithisha, ni endless loop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi viumbe wote tumekuwa programmed, na program yetu ni kuja duniani kuishi na kuondoka na kumleta mwingine naye aishi kuendana na jamii itakavyomrithisha, ni endless loop

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nikasema kwenye mstari wa mwisho wa hoja yake anauliza swali sio sahihi. Ndio namwambia kwann asidhanie kwamba binadamu na aliens wametengenezwa na super natural power moja?
Ishu ya kushea non coding sequence kwa asilimia kiduuchu na aliens sio hoja, maana binadamu tuna shea coding sequence na viumbe wengi achilia mbali hizo non coding sequence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…