Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

unahisi nchi zote africa zipo na inferiality kama unavosema..??

ni kweli pia factor hiyo inaweza pia ikawa njia ya kukufanya usifikilie nje ya box...

amini usiamini mkuu kuna external factor wazungu wananufaika nayo zaidi kwani waliwahi kusoma mchezo mapema na kukubali mazingira ila sisi ambao tupo gizani bado tunahangaika kuangalia mlango wa kutokea upo wapi lakini bado...

huoni kuwa kuna jambo nje ya akili na maamuzi..??



Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna, kwasababu DNA zetu wote ni sawa, ndomana unaweza ukazaliana na binadamu yeyote yule dunia hii, ila huwez kujamiiana na Sokwe (mwenye 99% similarity ya DNA na HomoSapiens).

Sisi hatuwazi kiteknolojia kwasababu tu ya kimazingira (njaa, vita, ukame, elimu duni, LUGHA) kila kitu tunajaribu kufanya kama wao walivyofanya pasipo kufanya kwa jinsi yetu sisi,

Chukulia mfano mchina anayeweza kutumia vitu vilivyomo kwenye mazingira yake kutatua matatizo yake, mfano anaweza akaunda kitu kwa miti kikafanya kazi inayofanywa na mashine yenye engine, sisi africa tuna kila kitu ila tunaambiwa kuwa hivi ni sio sahihi tutumie vile vya nje, vya kwetu ni duni na vibaya, then tunaamini tunafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna, kwasababu DNA zetu wote ni sawa, ndomana unaweza ukazaliana na binadamu yeyote yule dunia hii, ila huwez kujamiiana na Sokwe (mwenye 99% similarity ya DNA na HomoSapiens).

Sisi hatuwazi kiteknolojia kwasababu tu ya kimazingira (njaa, vita, ukame, elimu duni, LUGHA) kila kitu tunajaribu kufanya kama wao walivyofanya pasipo kufanya kwa jinsi yetu sisi,

Chukulia mfano mchina anayeweza kutumia vitu vilivyomo kwenye mazingira yake kutatua matatizo yake, mfano anaweza akaunda kitu kwa miti kikafanya kazi inayofanywa na mashine yenye engine, sisi africa tuna kila kitu ila tunaambiwa kuwa hivi ni sio sahihi tutumie vile vya nje, vya kwetu ni duni na vibaya, then tunaamini tunafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
unahis hakuna waafrica wanaoumiza akili juu ya hayo lakini wanakosa access ya kupata pa kuanzia..??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna protective mechanism wanapwwa but despite ya hayo yote wanapata shida kama hizo...

ni ngumu kudhibitisha unless ikupatale...

kwa hiyo na hao CIA wanaostaafu na kupata stoke wanakuwa kwenye mitambo..??

usichukulie factor moja ukaunganisha kwa yote..



Sent using Jamii Forums mobile app

CIA kwanza tu process ya kuwa fit na kuwa hired lazima inachukua kiasi kikubwa cha nguvu za mwili na akili.
Kingine yaweza kuwa plan mmojawapo kunyamazisha /kubinya uhuru au revenge baada ya Kazi.
 
kuna protective mechanism wanapwwa but despite ya hayo yote wanapata shida kama hizo...

ni ngumu kudhibitisha unless ikupatale...

kwa hiyo na hao CIA wanaostaafu na kupata stoke wanakuwa kwenye mitambo..??

usichukulie factor moja ukaunganisha kwa yote..



Sent using Jamii Forums mobile app

Mfano mzuri kijana Swoden ! Unadhani wa aina yake wako wangapi? Mwisho wa siku ilikulinda siri lazima stock za zamani ziharibiwe na hiyo ni pamoja na vitendea kazi kama wahusika kuwa wagonjwa.
 
Hamna, kwasababu DNA zetu wote ni sawa, ndomana unaweza ukazaliana na binadamu yeyote yule dunia hii, ila huwez kujamiiana na Sokwe (mwenye 99% similarity ya DNA na HomoSapiens).

Sisi hatuwazi kiteknolojia kwasababu tu ya kimazingira (njaa, vita, ukame, elimu duni, LUGHA) kila kitu tunajaribu kufanya kama wao walivyofanya pasipo kufanya kwa jinsi yetu sisi,

Chukulia mfano mchina anayeweza kutumia vitu vilivyomo kwenye mazingira yake kutatua matatizo yake, mfano anaweza akaunda kitu kwa miti kikafanya kazi inayofanywa na mashine yenye engine, sisi africa tuna kila kitu ila tunaambiwa kuwa hivi ni sio sahihi tutumie vile vya nje, vya kwetu ni duni na vibaya, then tunaamini tunafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
sikia ndgu...hata wazungu nao wapo kama ulivyo wew...seme kama hujawahi kukaaa nje ndo mana unaweza ukawaona kama wanakili snaa kukuzidi...hata huko kwao wanakosa majihu kwanini technolojia inakuwa kwa kasi na wao wanaamini kuna kundi la wenzao wanaodesign yote hayo lakini kujua inakuwa ngumu..

swala sio kuumiza akili..utaumiza akili mara ngapi huna access...??
ndo mana uwepo wa external asistance factot( beings) unaleta maswali juu ya uwepo wa technolojia kubwa ambayo mwanadamu anashangaaa...

inawezekana kabisaa mwanadamu anabaki kuelekezwa nini cha kufanya ndo mana tunaona inversion nyingi lakini kiuhalisia kuna siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mzuri kijana Swoden ! Unadhani wa aina yake wako wangapi? Mwisho wa siku ilikulinda siri lazima stock za zamani ziharibiwe na hiyo ni pamoja na vitendea kazi kama wahusika kuwa wagonjwa.
ndo mana Snowden anajilipua kuuleza umma juu ya siri nzito ambazo mwanadamu anazifanya under directory part kutoka kwa hao usiowajua...

Kuna siri nyingi za kintelligensia ambazo hata snowden mwenyew bado anaogopa kuzisema..trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujiuliza kuhusu Mungu, inabidi uanze kujiuliza km dunia iliumbwa na ww upo humu basi kuna dunia ngapi kwenye ulimwengu, maana km ww upo basi kuna sehem usiyoijua wapo watu wa jinsi yao,

Hapa tulipo tupo kwenye Milky Way Galaxy kwenye tip huko mkiani, kuna Andromeda Galaxy, Nebula Galaxy etc hizo unajua kuna dunia ngapi, na huwezi kufika maana kusafiri tu mwangaza ni miaka bilion na kadhaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha mwangaza kinapimwaje.!?

Na kina usahihi kiasi gani.?

Huwa siamini kama mshumaa ni sawa na bulb.

Usahihi tafadhali mkuu nitoe shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo mana Snowden anajilipua kuuleza umma juu ya siri nzito ambazo mwanadamu anazifanya under directory part kutoka kwa hao usiowajua...

Kuna siri nyingi za kintelligensia ambazo hata snowden mwenyew bado anaogopa kuzisema..trust me

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo maana unaona baada kazi wengi wao ni wagonjwa! End of usage what you do dump or recycle?
 
Ndiyo maana unaona baada kazi wengi wao ni wagonjwa! End of usage what you do dump or recycle?
kiongozi fikilia ñje ya kuugua kwa sababu ya kelele sijui za mitambo unavyofikilia..

Snowden mwenyewe alikimbia kwa sababu aligundua at the end of the day walikuwa wanamfanya apate mental palsy...

Wale jamaa kukufanya upate cerebral mental palsy ni kitu cha kawaida..lengo ukose mwanya wa kuja kusimulia mengi uliyoyaona...

Ndo mana anatapatapa kutafuta nchi itakayomhifadhi kwa masharti ya kuomba atawasaidia baadhi ya nyaraka za siri..

Babake mwenyewe snowden alikuwa afisa wa ngazi za juu katika idara ya upelelezi marekani ,sasa uliza kilichompata babake Snowden kipindi kastaafu ...

unajua ni ujumbe upi alimwandikia mwanae Edward akiwa bado masomoni kuhusiana na namna ya kufanya kazi na shirika hiko la kijasusi ??

ndo mana nakwambia kuna mengi ya kudig brother...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi...

Sio lazima ukomaee na mealezo yangu lakini kama una imani yako baki na imani yako lakini kama unahitaji kujifunza mambo basi weka imani yako pembeni upate kujua haya..

kabla sijaendelea napenda kukufahamisha wewe au wale ambao mnapuuza sana juu ya conspiracy theories na kudai kuwa hazina proof sasa leo unaweza pata kitu hapa..

katika mwili wa kiumbe yoyote yule,kuna kitu iinachoitwa DNA hiki ndo kinachobeba mwongozo wa jinsi utakavyokuja hapa duniani kwa sura ipi,mfumo upi,mwonekano upi,kwa tabia ipi na sifa zote hizi hubebwa na kitu kinachoitwa DNA,

DNA ndo kila kitu kwan imebaba taarifa zote juu ya utengenezaji wa kila kitu ulichonacho mwilini..
killa kitu ulicho nacho mwilini mwako kuna specific genes (jeni) ambayo inahusika na utengenezaji wake,ikitokea jeni inayohusika kutengeneza pua imepata hitilafu ukiwa bado tumboni kwa mama yako basi utengenezwaji wa pua utakosekana na utazaliwa ukiwa huna pua,na ikitokea jeni(gene) inayohusika na kutengeneza remondeling ya sura yako iwe nzuri ila ikapata hitilafu basi utazaliwa ukiwa na sura kama kinyago.

All in all, genes ndo kila kitu katika mwili wa kiumbe yoyote yule,hizi abnormality tunazoziona ni kwa sababu gene zetu zinapata hitilafu mahala fulani kwenye arrrangement zake ndani ya DNA sequence..

Arrangement za gene zetu zipo kwenye DNA kwa mfumo wa base pairing rule ,Genes zinaundwa na DNA bases ambazo zipo katika makundi mawili ( purine na pyrimidine ,ambapo purine ni Adenine (A) na Guanine (G) lakini pia pyrimidine ni Cytocine (C),Tymine (T) na Uracil (U).Ila katika namna ya kupair ili kuform gene tunaona kuwa Adenine huwa anapair na Tymine hence A=T katika DNA na kwenye RNA inakuwa A=U Wale waliosoma molecular chemistry na bioloji watakuwa wanalijua hili. lakini pia Cytocine anapair na Guanine hence C=G
View attachment 839829


kwa hiyo purine ana pair na pyrimidine mmoja ili waform complimentary sequence ya kuja kutengenza gene factor control..kwa mfano gene inayohusika na utengeneza wa jicho ni ACG manake itokea mtu akapat effects kwenye arrangement hiyo ya ACG na kuwa AGC hapo tunasema gene imepata mutation na kazi yake ya kutengeneza jicho inapotea kwa hiyo mtu atazaliwa hana jicho

lakini ukiangalia vizuri kwenye sequence hiyo kuna DNA codes hazipei kutengeneza functional gene...zinabaki hivo hivo tu..ni kama asilimia 85 ya DNA bases hazina kazi ya kutengeneza functional amino acid...


So only few percent DNA codes zilizopo kwenye DNA yetu ndo zina gene code zinazotengeneza protein kwa ajili ya kutengeneza specific organ mwilini mwetu kwa wakati maalumu..

SWALI JE": hizo code zingine zinatengeneza nini au kazi yake ni nini sasa..kiufupi tunapat makundi mawili ya genes hapo,coding genes na non coding genes,,

kuna genes zinazopair ili kuunda functional genes( genes zinazofanya kazi na kuleta umbo maalumu mwilini) lakini kuna baadhi ya genes kwenye hoiyo hiyo DNA sequence hazi match (non coding genes) kutengeneza functional genes,,ni wazi kuwa kila bionadamu ana non coding genes ambazo hazicode kwa chochote mwilini mwake na kwanini ziwepo wakati hazina kazi..?
View attachment 839830wale watu wa molecular analysis na DNA chemistry nadhani hata nyie mtajiuliza au bila shaka mshajiuliza kwanini non coding genes zipo tu na hazihusiki kwa chochote,,,

lakini pia
Jozi ya wanasayansi kutoka Kazakhstan wanaamini kuwa aina zetu ziliundwa na mamlaka ya juu, ustaarabu wa mgeni ambao ama alitaka kuhifadhi ujumbe katika DNA yetu au tu kupanda maisha kwenye sayari nyingine.


Maxim A. Makukov wa Taasisi ya Astrophysical ya Fesenkov na Vladimir I. Shcherbak kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Farabi Kazakh alitumia miaka 13 akifanya kazi kwa Mradi wa Binadamu wa Genome - utume ambao ulituma ramani ya DNA ya binadamu.

Hitimisho lao lilikuwa kwamba wanadamu walitengenezwa na nguvu ya juu, na "seti ya mifumo ya hesabu na lugha ya kibei ya mfano" iliyoingizwa ndani ya DNA yetu.
coincidence,,??

kutokana na kuwepo kwa group la non coding genes kwenye DNA yetu wanasayansi wamefikia hatua ya kulipa jina la JUNK DNA ,means gene DNA ambazo kazi yake haijulikani bado.

Comparative genomics studies have shown that some of this junk DNA is highly conserved, sometimes over hundreds of millions of years, which suggests that these noncoding regions have undergone positive selection throughout evolution and confer an advantage in terms of preserving or minimizing certain biological traits.
(Uchunguzi wa jenomatiki umeonyesha kwamba baadhi ya DNA hii isiyojumuishwa huhifadhiwa sana, wakati mwingine juu ya mamia ya mamilioni ya miaka, ambayo inaonyesha kuwa mikoa hii isiyo na ukodishaji imewahi kuchaguliwa mzuri katika mageuzi na kutoa fursa kwa kuhifadhi au kupunguza baadhi ya sifa za kibiolojia.)


kuna baadhi ya tafiti zimekuja kufanyika kwa kuhusisha DNA sequence ya HUMANOID ALIENS na kukuta kuwa seqence ya non coding genes kwa binadamu zinafanana kidogo na a part of DNA pair genes kwenye HUMANOID ALIEN DNA.

kwa hiyo inawezkana kabisa human being were programmed na Alien kwa kazi maalumu na they are watching us for sure,,
View attachment 839838
DID EXTRATERRESTRIALS GENETICALLY ENGINEER HUMANS?


Uumbaji na mageuzi ni nadharia mbili maarufu za jinsi watu walivyokuwa. Ingawa labda ni nadharia zinazoenea zaidi, kuna shule nyingine ya mawazo: Binadamu viliundwa na extraterrestrials

Nadharia nyingine inachunguza wazo kwamba extraterrestrials manipulated DNA yetu ya kujenga damu mchanganyiko katika sayari yetu. Kipande cha ushahidi muhimu zaidi kuunga mkono nadharia hii ni kitu kinachojulikana kama Rh.

Uwepo wa kipengele cha Rh katika damu ya binadamu hufanya aina ya damu iwe chanya, wakati kutokuwepo kwake hufanya hasi. Watu wengi ni Rh chanya, na asilimia 15 tu ya idadi ya watu hawana sababu ya Rh.

Sababu ya Rh inaweza kuhusishwa na aina nyingine, hususani nyamba. Ukosefu wa hiyo unaendelea kubaki siri. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaamini kuwa inatokana na vitu vya nje. Wengi wanaokataa mgeni ni Rh hasi. ukiangalia kweli ni nadra sana kuwapata watu wenye blood group zenye RHESUS negative na baadaye nasikia lakinim kuwa eti huwa wanapotea mazingira ya kutatanisha kama walivyoalbino'''

Je! Hii ni bahati mbaya? Inaonekana haiwezekani

Researcher David Icke anasema ,Huenda baada ya galactic civilization kwenye planet za mbali hukokuvurugika na kuleta hitilafu kubwa,familia nyingi za Aliens zilipata kutokuelewana na kusababisha mvurugano mkubwa ulioleta distruction za baadhi ya empire zao na kusababisha kusambaratika kwa madini maalumu kama ALMAS,GOLD,URANIUM,NEUTRON,PRUTONIUM,RADIUM ambayo ndo yanatumika kujengea empire zao n.k na kumewapelekea kudesign species watakaowasidia kurudisha baadhi ya mdini hayo yaliyoangukia kwenye plannet mbalimbali ambayo mojawapo ni EARTH,so existance ya human being ni programmed issure by Alien ndo mana wametuwekea signal za kuwasiliana nao,na signal hizo ni noc coding DNA genes ..

yan wamekuwekea DNA genes zitakazoprogrm mwili wako lakini pia wawe wanapata information kutoka kwako indirectly..

Mipango mingi sana inahusisha kuscan DNA zetu ziiingizwe kwenye universal data base ..lengo lake ni nini sasa,,?/

kwanini uwepo wa link kati ya human na Alien unafichwa sana ..??
kuna makubaliano makubwa sana kwanini siri hii imeendelea kuwepo .?

eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..lakini pia kumtengeneza kiumbe ambaye atahifadhi traits(vinasaba ) zao.


Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..

Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..

ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..

lakini kwenye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...

Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..

unajua kama unataka kuhifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..

Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNa A ndan ya miili yetu..?.

Sent using Jamii Forums mobile app

President John Adams passes the Naturalization Act, the first of four pieces of controversial legislation known together as the Alien and Sedition Acts, on this day in 1798.
(Rais John Adams anapitisha Sheria ya Ustawi, kwanza ya vipande vinne vya sheria ya utata inayojulikana kama Mgeni na Matendo ya Utamaduni, leo katika 1798.ambayo iliipa America kibali cha kufanya negotiation na Aliens kwa kazi maalumu lakini mambo yalifanywa siri nzito sana..)

Na kwanini watu wengi wanaofanya kazi kwenye taasis hizi za siri hasa serikali kama inajihusisha na maswali ya utafiti huwa wanakufa vifo vya ajabu sana,,

Nchi kama marekani yani watu wengi waliopo NASA kila wakisataafu wanarun mental problem na hiyo tunaita MENTAL ABDUCTION ,au wanaishia kuugua magonjwa kama kiharusi ( stroke) au hypertensive diseases au cardiovascular diseases kama HEART ATTACK,HEART FAILURE ,au BRAIN CANCER ,au CANCER OF UNKNOWN AETIOLOGY,,??

kwanini watu wengi baada ya kufanya kazi kwenye taasisi hizo za siri wanapojaribu kutoa siri nyingi juu ya mambo yalivyo huwa wanaishia kupata ukichaa,,??

fuatilia hili kama una ndugu yako anayefanya kazi serikalini hasa serikali za siri lazima kila wakistaafu watapata mental problem ,sio wote ila ni baadhi kulingana na sehemu na kitengo alichokuwa ,,

Hii yote pengine wasije kuanza kulopoka huko nje baada ya kutoka kifungoni..

Aliens are more superior interms of interlectual than human being ,tunaona technologia ikikua kwa kasi jambo ambalo lipo kinyume na utendaji kazi wa ubongo wa sasa wa mwanadumu,..kuna nini nyuma ya pazia,,??

kwanini uwezo wa mwanadamu kufikiri unapungua lakini technolojia inakuwa kwa kasi,,?? kina nani wanaoratibu haya mambo nyuma ya pazia.??

Tusije kweli kuwa tumeprogramiwa na Aliens kuwasaidia kuchukua hayo madini yaliyosambaratika kutoka kwao huko miaka mingi iliyopita na kuwafanya kuuumiza akili sana namna ya kufanya hiyo kazi ya kuanza kutafuta madini underground kwetu ila wakaamua kuprogram species watakaofanya hiyo kazi??
View attachment 839884

Nilipata muda wa kutembelea mradi wa kuzalisha umeme nchini Tanzania unaitwa kihansi electrical project upo IFAKARA wiliya ya kilombero mkoani Morogoro,
NADHANI ndo mradi uliocomplicated kuliko miradi yote ya umeme iliyopo Tanzania na AFrica mashariki kwa ujumla..

umeme wa KIHANSI unazaliswa underground kabsa ,yani kuna mlima mkubwa snaa halafu wamechonga tunnel inayoingia ndani ya mlima huo yenye umbali wa kilometre 3 halafu ndo unazama tena chini kwa umbali wa km 2 ndo unafika underground zambazo kuna makazi ya watu na mitambo yote,,kule chini ni kama umeinhia MLIMAN CITY SHOPPING CENTRE yan mitambo imeegeshwa huko balaaa,..

Sasa nikawa namuuliza Engener aliyekuwa zamu kuwa hivi ni binadamu kweli aliyehusika hapa au kuna some extra terrestrial ones,,??
aliishia kucheka na kuniambia under corabolations with some people iliwezekana.
kwa akili yangu sikuaweza kuamini kama binadamu angeweza kupata access ya knowledge yote ile maybe sijui lakini..

mwisho,,,
Napenda kuomba mchango wenu wadau wenye ujuzi au uelewa juu ya uwepo wa non coding DNA bases kwenye mwili wetu lakini pia unapaswa ujiulize kuwa ,ni nini kazi ya non function genes,??
kwanini utafiti uliofanywa na wanasayansi Area 51 juu ya DNA sequence ya human na Alien ulionekana kufanana kwa percennt flani kwenye non coding genes??


JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?

cc
Da vincci Kipanga boy Sokoro waito Bitoz Sticky_fingers George_Mbuligwe Kiranga Humble African zitto junior TIASSA GuDume Francis3 Internal Lee Napoleon@Eiyee

na wengine kibao karibuni,,
Sijui umenukuu wapi bandiko lako ila upeo wa kufafanua dhana ya uumbaji na "evolution" bado ni mbichi kabisa kwa ubinadamu wetu huu.

Kuna majaribio ya "cloning" wanyama na watu, lakini chanzo cha uhai wa kiumbe chochote na mmea ni kitendawili kwa upeo wa sayasi ya sasa.

Hivyo basi usijikite kwenye nadharia mitandaoni ila nenda kwenye maabara ufanye utafiti, uje na andiko lako la matokeo ya utafiti huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui umenukuu wapi bandiko lako ila upeo wa kufafanua dhana ya uumbaji na "evolution" bado ni mbichi kabisa kwa ubinadamu wetu huu.

Kuna majaribio ya "cloning" wanyama na watu, lakini chanzo cha uhai wa kiumbe chochote na mmea ni kitendawili kwa upeo wa sayasi ya sasa.

Hivyo basi usijikite kwenye nadharia mitandaoni ila nenda kwenye maabara ufanye utafiti, uje na andiko lako la matokeo ya utafiti huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa nilichoona hapo kwenye hiyo post ni kuwa yoote uliyoweka ni mitizamo ya hao wanaojiita wana science yaani wamefikiria labda ilitokea hivyo(theories) lakini si lazima iwe kweli .kitendo cha public mind control ni kikubwa mno na kinatumika na hizo high families kuweza kumanipulate watu kwa kuwaingizia uwoga na imani flani.kwa kuwa hata pyramids zenyewe wanamashaka na kusema kuwa zilitengenezwa na hao aliens pia sasa tuelewe vipi? Kingine ni kuwa kusema kwamba junk DNA's huwa hazina specific function naona kama ni makosa kwa kuwa mpaka sasa bado hatujagundua hata function ya appendix tunakibilia kusema ni useless organ [emoji23] .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah labda inawezekana itakuwa ziko nyiiingi kwenye hilo andiko lake kitu ambacho kinadhihirisha ni stori tu kufikirika na mambo ya cinema cinema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kwanza anza kutafuta proof ya hawa alliens/viumbesadikika kama kweli wapo baada ya hiyo proof ndiyo basi urudi kutafuta proof ya wao kuwa na uwezo wa kuumba/kumprogram/binadam.

Kitu kingine utafute pia kujua juu ya viumbe wengine kama wanyama wote na mimea pia fikiria juu ya genetic composition zao na uzihusishe na hao viumbe sadikika huo utakuwa mwanzo wa kumtambua muumba wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha mwangaza kinapimwaje.!?

Na kina usahihi kiasi gani.?

Huwa siamini kama mshumaa ni sawa na bulb.

Usahihi tafadhali mkuu nitoe shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo sio mwangaza uliong'aa au uliofifia, ni umbali ambao mwangaza (light) inasafiri kutoka kwenye chanzo hadi kufika kwenye ukinzani

Mshumaa na bulb zote zinatoa mwanga, na mwanga unasafiri katika spidi ya approx. 2.99*10^8 m/s so ukiambiwa mwanga unatumia muda wa miaka bilioni kusafiri far far away galaxy hadi hapa ndo fanya hesabu upate umbali (umbali = spidi * muda, tumia fomyula hiyo ili usiulize utapataje)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?"
Swali lako linaweza kuwa sio swali sahihi. Kwann usiulize Je, binadamu na aliens hawawezi kuwa wamekuwa programmed na "one maker" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?"
Swali lako linaweza kuwa sio swali sahihi. Kwann usiulize Je, binadamu na aliens hawawezi kuwa wamekuwa programmed na "one maker" ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi viumbe wote tumekuwa programmed, na program yetu ni kuja duniani kuishi na kuondoka na kumleta mwingine naye aishi kuendana na jamii itakavyomrithisha, ni endless loop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi viumbe wote tumekuwa programmed, na program yetu ni kuja duniani kuishi na kuondoka na kumleta mwingine naye aishi kuendana na jamii itakavyomrithisha, ni endless loop

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nikasema kwenye mstari wa mwisho wa hoja yake anauliza swali sio sahihi. Ndio namwambia kwann asidhanie kwamba binadamu na aliens wametengenezwa na super natural power moja?
Ishu ya kushea non coding sequence kwa asilimia kiduuchu na aliens sio hoja, maana binadamu tuna shea coding sequence na viumbe wengi achilia mbali hizo non coding sequence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom