😀 😀 😀 🙂 😀 🙂 😀 ww jamaaaSuala la madini inamaana ni hapa duniani tu yapo?
Mbona naskia kwenye sayari kama Uranus inanyesha mvua ya almasi!?
Si wangenda kujichotea huko kuliko kupoteza muda wao huku ambako almasi ni ngumu kuipata
Ni kweli karibu kufuatilia!
Nilitaka kukupa likes km zoteSuala la madini inamaana ni hapa duniani tu yapo?
Mbona naskia kwenye sayari kama Uranus inanyesha mvua ya almasi!?
Si wangenda kujichotea huko kuliko kupoteza muda wao huku ambako almasi ni ngumu kuipata
Kwanini ulishindwa nelson?
mkuu,simply tunasema higher life forms is more intelligent than lower life forms..Mkuu hawa ndiyo walioumba Mbingu na Dunia? Je! Ndo hawa Walioleta masomo ya nidhamu? Je! Ndio hawa wanaotujalia ngekewa sisi wachimba madini? Labda sijskuelewa vizur kwasababu nataka niulize kati ya hivo Alliens na Mungu kipi kimekuwa maarufu sana? Na kipi kilichotajwa kuwa kina akili sana? Tuamini story zote maana zote ni story tu hasa za wale wajanja wanaopiga Aficafe kwa Cafe
mkuu vipi ,hiyo miguno vepee 😕 🙂Mmmh ata kama biology ilinipita kushoto lakini mmmh narudia tena mmmmmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kodi zitusumbue, na haya mambo ya aliens yatusumbue. This is too fucking big
[emoji15] [emoji15]Wale walioonwa na watoto kule zimbabwe nao ni hoax,halafu,mbona kule bermuda triangle hakuingiliki,na mwisho kwa nn wamarekani wanapalinda sana pale kwenye tobo lililo ncha ya kaskazini mwq dunia,kwa nn ikikatiza ndege yoyote au kitu chochote kitakachojaribu kulisogelea lile tobo lazima wamtungue,kuna nn pale????
Very logical. Ambapo kutafuta madini ni kazi rahisi kwa binadamu, so how come kilichoumbwa kiwe more interlectual kuliko kiumbji.Mkuu itakuwa kumuumba binadamu kwao ni kazi rahisi kuliko kuyatafuta hayo Madini.
Kabla yakujiuliza kuhusu technology; binadamu ni roho, nafsi na mwili (in case u know that) ama kwa lugha nyingine, binadamu ni roho iishiyo ndani ya mwili ikiposses nafsi (a human is a "spirit" living in a body, possesses a soul). Sasa ni kipi kati ya hivi vitatu ambavyo aliens walitengeneza ( because am sure they can't create a spirit, I doubt if they can create a soul either). Ila nataka urejee historia ya teknolojia ( ambayo inatrace back miaka michache tuu nyuma) halafu trace na historia ya existance ya hao aliens ( it must be thousands of millions years maana c ndo wao wametuumba maana binadamu mwenyewe anakuwa traced back millions of years) halafu utafute uhusiano hapo.ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..
tuweke mambo ya bible na quran..lets talk reality ya wapi technolojia inatoka ndo tukane uwepo wa viumbe vilivyotuzidi maarifa..
Tumekalia kusema ni conspirancy bika kujua kwanini tunasurvive with high technological improvement
Human civilizatiom has brought by number of several factors japo ukweli unabaki kwenye siri..
But tunaweza umiza vichwa kuanza na kwanini uwepo wa technolojia unashindwa kudhibitisha kama mwanadamu ndo mvumbuzi au anapewa direction nini afanye..
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,naomba uniambie kazi ya non coding DNA bases au ...Kabla yakujiuliza kuhusu technology; binadamu ni roho, nafsi na mwili (in case u know that) ama kwa lugha nyingine, binadamu ni roho iishiyo ndani ya mwili ikiposses nafsi (a human is a "spirit" living in a body, possesses a soul). Sasa ni kipi kati ya hivi vitatu ambavyo aliens walitengeneza ( because am sure they can't create a spirit, I doubt if they can create a soul either). Ila nataka urejee historia ya teknolojia ( ambayo inatrace back miaka michache tuu nyuma) halafu trace na historia ya existance ya hao aliens ( it must be thousands of millions years maana c ndo wao wametuumba maana binadamu mwenyewe anakuwa traced back millions of years) halafu utafute uhusiano hapo.
Lakini pia nashauri ukajikumbushe matumizi ya akili ya binadamu kwa kipindi cha uhai wake (ambayo ni asilimia chache sana, less than 10), ukielewa hapo utagundua kua mambo makubwa yote unayoyajua, usiyoyajua na ambayo bado yatatokea, human being is capable of doing, though satan can do that too.
Maana theory zinasema "laiti kama binadamu ataweza kutumia 100% ya akili yake, anaweka kukumbuka mpaka kipindi alivyokua tumboni ( kuanzia trymister ambayo ubongo ulikua formed). So don't doubt a human brain bro, to be more specific dont doubt your brain, ts not healthy, ts not wise.
Sent using Jamii Forums mobile app
nani yuko intelectula zaidi kati ya Human beings na Aliens??Very logical. Ambapo kutafuta madini ni kazi rahisi kwa binadamu, so how come kilichoumbwa kiwe more interlectual kuliko kiumbji.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha madini ni kitu kidgo sana pengine,lakini intention yao kubwa ilikuwa ni kuhifadhi Genetic traits zao ndo mana tunapata wasi wasi wa kuwepo kwa Non coding DNA bases...Naona watu wamekazia sana madini,
Hizi njaa ni hatari
Just saying