evidence...leta evidence nikupe evidence..kwanini unakataa wakati evidence hizo hapo...Au umefungua third eye ndo mana unasema tumetokana na aliens??
Kitu gani kinakufanya uamini zaidi katika aliens
Aseee nitaitafuta,kumbe The events ushaiona eeh ,huyu MTU nitamtafuta piahatari sana mkuu,mtafute mtu mmoja anaitwa Nick Wauters ndo aliyeiruhusu ile movies kutengenezwa,yani unaambwa movies au series zake zilikuwa na utata snaa ..
Tafuta series yake moja inaitwa THE 4400 ni balaa
mpaka ilfungiwa mwka 2007..
Sent using Jamii Forums mobile app
evidence...leta evidence nikupe evidence..kwanini unakataa wakati evidence hizo hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Au umefungua third eye ndo mana unasema tumetokana na aliens??
Kitu gani kinakufanya uamini zaidi katika aliens
Hapo ni binadam kaandika mkuuww jamaa yani bible ndo unaichukulia kama ndo kila kitu et ee...hivi hujui kuna doctrine nyingi zinaelezea mambo mazito ambayo bible yako hiyo imeshindwa au haijayatolewa ufafanuzi...
tatizo unaonekana mfia dini sana...
soma hapa chini kuhusu bible yako hiyo..
na hiki ni kisehemu kidgo snaa
View attachment 855115
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalijua vizuri taifa la Israel ww..??Unataka evidence ya aina gn
nimekwambia twende na usemi wako juu ya taifa la Mungu na uniletee vifungu hapa tuvichambue usemi wake..kwani i tunabishana ??Hapo ni binadam kaandika mkuu
Mbona hata ww unaweza ukaandika vitu kama ivo mkuu
Alaf kingine Kama huamini uwepo wa Mungu bhasi pia huamini uwepo wa shetani, wala uchawi
You are right 😎😎😎acha ushabiki ambao umerely na bible tu na nikikuambia unipe tafsiri juu ya maneno ya kwenye bible hiyo unakimbia ..
View attachment 855131
nisomeee hapo juu halafu unambie umeelewa nini kwwnye hiyo mistari inayotolewa ufafanuzi...
Sent using Jamii Forums mobile app
tupo hapa kujifunza ..unatoa evidence na mwenzio unatoa evidence pengine mmoja wetu anaweza kuwa wrong somewhere mkuu,hatuoneshani uwezo ,by the way tunaitafuta iliyo kweli ili ituweke huru tutoke kifungoni mkuu..You are right [emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu kiukweli mi Sina point/uwezo wa kupambana na wewe kwa hojatupo hapa kujifunza ..unatoa evidence na mwenzio unatoa evidence pengine mmoja wetu anaweza kuwa wrong somewhere mkuu,hatuoneshani uwezo ,by the way tunaitafuta iliyo kweli ili ituweke huru tutoke kifungoni mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa..kama umeamua kuishia njiani mkuuMkuu kiukweli mi Sina point/uwezo wa kupambana na wewe kwa hoja
Maana nimefatilia hoja zako nyingi kiukweli zina ushawishi
Labda mtu ambae naona unaweza kupambana nae ni Mshana Jr
mkuu binadamu amekuwa mtu wa kuelekezwa kila kitu namna ya kuyakabili yanayomzunguka...Kuna swali huwa najiuliza hivi ni kweli hii sayari ingekuwa ni yetu by original hii hali ya kupambana na mazingira kwa nini iendelee kutusumbua [emoji1] [emoji1]
Je ni kweli viumbe wengine wanapata shida kuishi kwenye hii sayari kama sisi au wao ndo wenyeji "sisi tulivamia" eneo ambalo sio letu ..kama na hao viumbe wengine wanapata tabu kuishi humu kama sisi bhasi ntapunguza mawazo yangu yasiyo na mbele wala nyuma ....utofauti uliopo kati yetu sisi na viumbe wengine bado unanipa wasiwasi na naweza kuunga mkonyo hoja
Mbona hao wengine wanaweza kufanya na kumudu yotemkuu binadamu amekuwa mtu wa kuelekezwa kila kitu namna ya kuyakabili yanayomzunguka...
Sent using Jamii Forums mobile app
swala la kujiuliza ni kwamba magonjwa na mambo mengine yanapatiwa ufumbuzi kwa msaada wa beings from farMbona hao wengine wanaweza kufanya na kumudu yote
Mfano nikakuuliza ni kitu gani unakiamini kweye uumbaji ?swala la kujiuliza ni kwamba magonjwa na mambo mengine yanapatiwa ufumbuzi kwa msaada wa beings from far
Sent using Jamii Forums mobile app
uumbaji upi? natural au artificial creation...??Mfano nikakuuliza ni kitu gani unakiamini kweye uumbaji ?
Kwenye evolution uko vizuri ...tuanze na naturaluumbaji upi? natural au artificial creation...??
binafsi naamini juu ya general concept ya kuwa viumbe vinazalia kwa factor control flani ambayo ndo inaruhusu progression ya maisha ya viumbe hao
Pia naamni juu ya artificial reprogression ya new species from pre existing ones.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natural creatiin iko guided by factor control flani ambayo inaruhus viumbe wote wapitie sequence( consider about spiral continum iliyojaribu kuelezewa ) kwenye fibonacci number and life regression codes ambazo zinatolea ufafanuzi kwenye DNA analysisKwenye evolution uko vizuri ...tuanze na natural