lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
- Thread starter
-
- #681
Nina ushahidi tosha juu ya watu waliopewa tuzo na Miradi mikubwa ya kutokomeza malaria pamoja Ukimwi ambapo ipo chini ya taasisi za kigeni ambazo zinakuja na kila kitu kisha zinawaingiza native au wenyeji kisha kuwapa semina mwisho wa siku wote mloopewa semina mnatunukiwa tuzo na hizo tuzo zinapambwa snaa kuwa hawa ndo mabingwa kutoka Africa waliotoa michango yao juu ya kutokemeza Malaria Tanzania na majina yao yanaingia World headline..jamaa pia hajachunguza kiongozi pitia huu uzi niliuandika zamani uniambie je bado watu weusi ni wakuzaraulika kama mkuu alivyozarau hapo
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao? - JamiiForums
Au unafikiri sifahamu..nimekwambia nina experience na utoaji wa tuzo hizo labda kama hujawahi fanya kazi na wale watu ndo utaonekana kama una maana yoyote...
But the real actual facts ni kwamba hatujawahi kupinga kwa facts zenye level ya molecular hasa kwenye molecular ..
Usibishi kwa sifa ila tuelewane vizuri mkuu,wew mwenyewe ni mojawapo ya ushahidi juu ya hilo kama unapinga niambie...