Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

huwezi ukasema hawana lolote wakati technologia inapotoka hujui..na still umekosa jibu kwanini mwanadamu amekuwa low interm of interlectual...

Tusiwahi kugeneralize kuwa Aliens ni viumbe wa kusadikika wakati tunashindwa kutoa majawabu sahihi wapo technolojia inatoka...

Tusiwe wepesi wa kujibu hoja nzito wakati ukweli wa mambo ukiwa bado parodoxy hasa upande wa technolojia...

you never know about their findings kwenye dunia yetu...

how sure are we kuwa hawajainvade hasa sayari zingine..??
simply bcoz we are hidden from the reality kuwa hawapo sayari zingine but these beings are supreme to us..

let us solve this paradoxy first where we obtain technology halafu bdo tukane uwepo wa supreme being over us...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa.

Katika uzi wako nimeona kuwa sababu kuu ya wao kuumba binadamu ni kutaka binadamu kuwasaidi kukusanya madini ambayo hao wamekuwa wakitumia akili zaidi kutafuta namna ya kuyarejesha madini hayo.

Sasa nauliza.

1.Licha ya akili nyingi walizonazo na tekinolojia yote walishindwa wao kurejesha madini hayo pasina kumuhusisha binadamu ambaye anayatumia madini yao kwa matumizi yake binafsi?

2.Kwanini tekinolojia hiyo haikuanza kwa binadamu wa kwanza ambaye walimuumba na hatimaye kuanza miaka mingi baadaye?

3.Sasa kama binadamu walimuumba awasaidie kukusanya madini yao na wao ndiyo wanamuongoza binadamu iweje wampe akili za kuyatumia madini hayo ambayo hata wao inaonekana wanayaitaji zaidi?

4.Kwanini hawakuumba binadamu kwa wakati mmoja tena kwa idadi waitakayo ili wafanikishe adhima yao ya kukusanya madini kwa muda mfupi yaani wafanye kazi kwa pamoja?

Naomba tusaidiane kueleweshana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..

tuweke mambo ya bible na quran..lets talk reality ya wapi technolojia inatoka ndo tukane uwepo wa viumbe vilivyotuzidi maarifa..

Tumekalia kusema ni conspirancy bika kujua kwanini tunasurvive with high technological improvement

Human civilizatiom has brought by number of several factors japo ukweli unabaki kwenye siri..

But tunaweza umiza vichwa kuanza na kwanini uwepo wa technolojia unashindwa kudhibitisha kama mwanadamu ndo mvumbuzi au anapewa direction nini afanye..

Sent using Jamii Forums mobile app
Technology inatoka kwa wazungu ambeye mwenye asili ya kiiziraeli kumbuka hawa watu walipewa utashi mkubwa kumbuka israeli ilikuwa ni taifa teule sasa alichofanya muamerika hakuwafukuza hawa majamaa walibaki nchini mwao na kufanya mambo meningi kumbuka hata binadam wakwanza kwenda mwezini alikuwa n muamerka sio kama sisi ukitaka kugundua kitu unafichwa

Sasa wenzetu white wanasomea kujifunza kutengeneza vitu na kuinvest kwny kitu chenyewe as long itachukua coast na time hajali akini watu weusi tunapoteza muda mwng kutafuta malazi na chakula

Tunaletewa vitu na ujuzi coz hatujawa civilized alafu we unauliza technology inatoka wap
Jibu ni simple
KWA WAZUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the curent bible has never been a solution to give us ukweli wa mambo...inaelezea juu juu tena kuielewa kwwnyewe mpaka uconnect dots za vifungu..

but through studying the universe how it is interacted we can find a solution..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] Et bila dots unatoka 0. yaan hadithi za shigongo znaeleweka vzuri na kwa ufasaha kuliko vitabu vya mungu. [emoji9] [emoji9] n upuuz mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nimekuelewa.

Katika uzi wako nimeona kuwa sababu kuu ya wao kuumba binadamu ni kutaka binadamu kuwasaidi kukusanya madini ambayo hao wamekuwa wakitumia akili zaidi kutafuta namna ya kuyarejesha madini hayo.

Sasa nauliza.

1.Licha ya akili nyingi walizonazo na tekinolojia yote walishindwa wao kurejesha madini hayo pasina kumuhusisha binadamu ambaye anayatumia madini yao kwa matumizi yake binafsi?

2.Kwanini tekinolojia hiyo haikuanza kwa binadamu wa kwanza ambaye walimuumba na hatimaye kuanza miaka mingi baadaye?

3.Sasa kama binadamu walimuumba awasaidie kukusanya madini yao na wao ndiyo wanamuongoza binadamu iweje wampe akili za kuyatumia madini hayo ambayo hata wao inaonekana wanayaitaji zaidi?

4.Kwanini hawakuumba binadamu kwa wakati mmoja tena kwa idadi waitakayo ili wafanikishe adhima yao ya kukusanya madini kwa muda mfupi yaani wafanye kazi kwa pamoja?

Naomba tusaidiane kueleweshana.

Sent using Jamii Forums mobile app
eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..

but lazima ujue kuwa this universe is so large na hao aliens obey universal laws zinazogovern existance of anything..

lakini sasa unapaswa uelewe kuwa the more unavyopata access ya juu ndipo unapokuwa na uwezo wa kucreate minimal number of poaibility ya kitu chochote kiishi under your control...

Swala la kusema kwa kuwa wana technolojia kubwa wanapaswa wachimbe wao mimi siafikiani nalo kwani kumbuka everything is by limitation sehemu flani..

Atmosphere ya huku duniani might be different from the atmosphere ya galactic civilized planets za huko ..

pengine atmospheric condition ya huku inawalimit kufanya mambo flani ndo mana hata uwepo wao unakuwa ni wakuonekana mara moja moja...

Japo una uwezo wa kufanya kila jambo there are altenative to do..

Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..

Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..

ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..

lakini kwwnye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...

Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..

unajua kama unataka kubifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..

Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNa A ndan ya miili yetu..??

Weka ushabiki wa viumbe hawa kusadikika but think more on that..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology inatoka kwa wazungu ambeye mwenye asili ya kiiziraeli kumbuka hawa watu walipewa utashi mkubwa kumbuka israeli ilikuwa ni taifa teule sasa alichofanya muamerika hakuwafukuza hawa majamaa walibaki nchini mwao na kufanya mambo meningi kumbuka hata binadam wakwanza kwenda mwezini alikuwa n muamerka sio kama sisi ukitaka kugundua kitu unafichwa

Sasa wenzetu white wanasomea kujifunza kutengeneza vitu na kuinvest kwny kitu chenyewe as long itachukua coast na time hajali akini watu weusi tunapoteza muda mwng kutafuta malazi na chakula

Tunaletewa vitu na ujuzi coz hatujawa civilized alafu we unauliza technology inatoka wap
Jibu ni simple
KWA WAZUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
usikimbilie kujibu kwa reference ya bible mkuu..

Naomba nikulize swali kidgo unajua kwanini israeli inaonekana kuwa na mageniuz wakubwa ??

Unajua source of their interlectual..??
nikikuambia kuwa mwisrael ndo mtu nayeidanganya dunia kuwa mambo yaliyoandikwa kwenye biblia ndo kila kiti halafu yeye kaiacha..!! unajua kwanini kaachana na bible ambayo aliiprogram for a long plan ili maelfu ya miaka yapite huku conservation ya Aliens traits ikiendelea..!!

Una habari bible imedesigniwa na mwisrael kwa ajiri ya kuwakeep bizw watu kujadi vifungu vilivyo complicated..??

au na hili unakataa..??

unaweza usiamini kwa sababu umekuwa mfia dini wa biblia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..

but lazima ujue kuwa this universe is so large na hao aliens obey universal laws zinazogovern existance of anything..

lakini sasa unapaswa uelewe kuwa the more unavyopata access ya juu ndipo unapokuwa na uwezo wa kucreate minimal number of poaibility ya kitu chochote kiishi under your control...

Swala la kusema kwa kuwa wana technolojia kubwa wanapaswa wachimbe wao mimi siafikiani nalo kwani kumbuka everything is by limitation sehemu flani..

Atmosphere ya huku duniani might be different from the atmosphere ya galactic civilized planets za huko ..

pengine atmospheric condition ya huku inawalimit kufanya mambo flani ndo mana hata uwepo wao unakuwa ni wakuonekana mara moja moja...

Japo una uwezo wa kufanya kila jambo there are altenative to do..

Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..

Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..

ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..

lakini kwwnye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...

Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..

unajua kama unataka kubifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..

Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNa A ndan ya miili yetu..??

Weka ushabiki wa viumbe hawa kusadikika but think more on that..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema wanakuja mara kwa mara naomba unipe evidence kama walishakuja na ni sehemu gani akaonekana m nimewaona kwenye movies ambayo ni ecting hamna uhalisia wowote
Screenshot_20180818-201340.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usikimbilie kujibu kwa reference ya bible mkuu..

Naomba nikulize swali kidgo unajua kwanini israeli inaonekana kuwa na mageniuz wakubwa ??

Unajua source of their interlectual..??
nikikuambia kuwa mwisrael ndo mtu nayeidanganya dunia kuwa mambo yaliyoandikwa kwenye biblia ndo kila kiti halafu yeye kaiacha..!! unajua kwanini kaachana na bible ambayo aliiprogram for a long plan ili maelfu ya miaka yapite huku conservation ya Aliens traits ikiendelea..!!

Una habari bible imedesigniwa na mwisrael kwa ajiri ya kuwakeep bizw watu kujadi vifungu vilivyo complicated..??

au na hili unakataa..??

unaweza usiamini kwa sababu umekuwa mfia dini wa biblia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingependeza haya maelezo yako ungeyawekea na source yake kinyume na hapo yanakuwa ni sawa na story za kijiweni.
 
Raisi John aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.
 
[emoji23] [emoji23] Et bila dots unatoka 0. yaan hadithi za shigongo znaeleweka vzuri na kwa ufasaha kuliko vitabu vya mungu. [emoji9] [emoji9] n upuuz mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
umerely na bible na quran kama reference yako juu ya original ..

weka proof twende sawa..

nambie kwanini mzungu kaachana na hiyo bible ambayo wew uniatwa kitabu cha mungu..

Hivi unajua mana ya long plan ya kuficha ukweli wa kitu..??

Umewahi kwenda jeshi ww??

jeshini unaweza ishi miaka hata 40 bila kujua kambi inayohusika na kuficha siraha za hatari za nchi ila mpaka ufike level flani..

ukiwa jeshini utakuwa unambiwa kambi hii ndo kila kitu ila badae unagundua sio kweli unaendelea tena mpkaa unastaafu bila kujua ..

hiyo ndo hali halisi ya bible kuletwa duniani..it was a long plan ever...

nakupa miaka 50 ijayo ,binadamu huyu anayeamini juu ya bible atakuwa ameshashift to anothe plane of believe kuhusu uwepo wa mungu..

Keep watching if you reach to see your oldness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale walioonwa na watoto kule zimbabwe nao ni hoax,halafu,mbona kule bermuda triangle hakuingiliki,na mwisho kwa nn wamarekani wanapalinda sana pale kwenye tobo lililo ncha ya kaskazini mwq dunia,kwa nn ikikatiza ndege yoyote au kitu chochote kitakachojaribu kulisogelea lile tobo lazima wamtungue,kuna nn pale????
Tobo? Unamaanisha Unaamini HOLLOW EARTH ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa viumbe ktoka sayari nyngne unaushaid mkubwa kushinda ushaid wa uwepo wa mungu wa kwenye bible na quruan

Sent using Jamii Forums mobile app
Prove ua word ukiweza ndo tunaweza sema bibble na quruan no ila huna uwezo wa kuprove ivo wacha tuamini bibile na quruan maana ni maandiko tunayoyaona kuliko kuamini hicho unachosema ww na hauna evidence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom