Mr commission
Senior Member
- Jul 30, 2018
- 109
- 253
Sawa nimekuelewa.huwezi ukasema hawana lolote wakati technologia inapotoka hujui..na still umekosa jibu kwanini mwanadamu amekuwa low interm of interlectual...
Tusiwahi kugeneralize kuwa Aliens ni viumbe wa kusadikika wakati tunashindwa kutoa majawabu sahihi wapo technolojia inatoka...
Tusiwe wepesi wa kujibu hoja nzito wakati ukweli wa mambo ukiwa bado parodoxy hasa upande wa technolojia...
you never know about their findings kwenye dunia yetu...
how sure are we kuwa hawajainvade hasa sayari zingine..??
simply bcoz we are hidden from the reality kuwa hawapo sayari zingine but these beings are supreme to us..
let us solve this paradoxy first where we obtain technology halafu bdo tukane uwepo wa supreme being over us...
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika uzi wako nimeona kuwa sababu kuu ya wao kuumba binadamu ni kutaka binadamu kuwasaidi kukusanya madini ambayo hao wamekuwa wakitumia akili zaidi kutafuta namna ya kuyarejesha madini hayo.
Sasa nauliza.
1.Licha ya akili nyingi walizonazo na tekinolojia yote walishindwa wao kurejesha madini hayo pasina kumuhusisha binadamu ambaye anayatumia madini yao kwa matumizi yake binafsi?
2.Kwanini tekinolojia hiyo haikuanza kwa binadamu wa kwanza ambaye walimuumba na hatimaye kuanza miaka mingi baadaye?
3.Sasa kama binadamu walimuumba awasaidie kukusanya madini yao na wao ndiyo wanamuongoza binadamu iweje wampe akili za kuyatumia madini hayo ambayo hata wao inaonekana wanayaitaji zaidi?
4.Kwanini hawakuumba binadamu kwa wakati mmoja tena kwa idadi waitakayo ili wafanikishe adhima yao ya kukusanya madini kwa muda mfupi yaani wafanye kazi kwa pamoja?
Naomba tusaidiane kueleweshana.
Sent using Jamii Forums mobile app