Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Uwepo wa viumbe ktoka sayari nyngne unaushaid mkubwa kushinda ushaid wa uwepo wa mungu wa kwenye bible na quruan

Sent using Jamii Forums mobile app
shida inakuja tunapenda kuiamini bible wakati Vatcan kuna library kabsa ya mambo hayo ya hidden reality from walking situation..

kama hujawahi pata access ya kusoma hidden doctrine ni ngumu kuamini hayo mambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Da Vinci..hebu tujiulize source ya technolojia tuliyonayo in relation to human brain ya sasa hivi...

Una amini kweli kuwa ni binadamu wa kawaida anaeratibu yote hayo...??

Ukitaka kujua hilo fikiria uwezo wako binafsi ulio nao juu ya difficultness unazokumbana nazo na je uwewahi kujiona kuwa ww una uwezo wa kufanya jambo lolote bila asistance yoyote toka kwa mtu yoyote..??

jinsi utakavyo jievaluate uwezo wako wa kiakiki ndivyo ilivyo hata kwa wengine...
point to note ni kwamba tunaegemea zaidi kusema ni conspirancy laki hebu jiulize wanaoratibu mambo hayo ni akina nani...

Leo hii jaribu kuangalia hata utengenezwaji wa madawa unabaki kuwa ni siri nzito...
Lakini kwann taasisi zinazotengeneza hazipo mavyuoni ambapo ndo elimu zote zinatolea lakini kwann wanaotengeneza wapo nje kabsaa na vyuo au mahala elimu hiyi inapotolewa..??

tusiishie kupuuza lakini uliza akili yako nyuma ya pazia kuna nini..

kwann mambo yanaratibiwa kwa siri...
??

Everything becomes conspiracy if not proven otherwise..but how should we rely on that....
ndo mana kuna principle tunaziishi lakini ndo conspirancy zenyewe hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kuniambia kwa nini hakuna mtu nnje ya familia ya John Pemberton anayejua fomular ya coca cola syrup?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well said mkuu...

all in all lazima ufaham kuwa species zote zinaly kwenye same genetic basis katika analysis hiyo...

its the matter of believing that among all cretures binadamu ndo kiumbe mwenye high conciousness compared to other animals exluding extraterrestrial forms of all livings..

Mbuzi,sijui mbwa ni low programmed cretures ambao nao wanaweza kube programmed kama viumbe wengne..

forget about their sizes and surface ratio zao ila kikubwa ni Hiyo Genome inayoweza kuprogram kiumbe yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuhusiana na dolphins? Iq ya dolphin unaiweka kwenye ligi na kiumbe yupi Hadi ufikie conclusion yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp kuhusiana na dolphins? Iq ya dolphin unaiweka kwenye ligi na kiumbe yupi Hadi ufikie conclusion yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uelewa wangu dolphin ana Iq kuliko wanyama wengine nje na binadamu akifuatiwa na tembo ila hayo yote yanatokana na ubongo wao zipo similar kwnye structure zote zina portion tatu sawa na ile ya binadamu yaani ubongo wa nyuma wakati na ubongo wa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaweza kuniambia kwa nini hakuna mtu nnje ya familia ya John Pemberton anayejua fomular ya coca cola syrup?

Sent using Jamii Forums mobile app
swala kuhusu coca cola formula kufichwa ni matter of industry compain za baadhi ya makampuni yanayoleta ushindani katika mauzo..

ni watu wawili kama sikosei au wachache wa familia moja tu ndo wanaojua kuhusu siri ya hiyo formula...

Hizo formula za kutengeneza coco cola flavour ni vitu vidgo sana ukilinganisha na siri iliyopo kwenye utengenezaji wa madawa..

Coco cola ipo upande wa intertainment zaid..

imebase na industrial factor zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano ile Nazc lines ilicholwa na nan? mistali imekuwepo karne nyng hata kabla ya JC.N mistali ambayo iliujue ujumbe kusudiwa wa hiyo micholo n lazma uwe angan ndo unapata picha halisi ya kile kilcho cholwa. sasa tujiulze mcholaj alipata wap ndege au chombo cha kmpeleka angan ili kpata pcha halisi ya kile alichokua anachola. zingatia kua Wakat huo hakukua na ndege

exactly..hapo ndo utapata jawabu kuwa kuna other beings before us..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala kuhusu coca cola formula kufichwa ni matter of industry compain za baadhi ya makampuni yanayoleta ushindani katika mauzo..

ni watu wawili kama sikosei au wachache wa familia moja tu ndo wanaojua kuhusu siri ya hiyo formula...

Hizo formula za kutengeneza coco cola flavour ni vitu vidgo sana ukilinganisha na siri iliyopo kwenye utengenezaji wa madawa..

Coco cola ipo upande wa intertainment zaid..

imebase na industrial factor zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhumuni la kukuuliza hilo swali ni kuwa kama ulivyouliza kwa nini madawa huwa hayatengenezwi vyuoni ki kuwa madawa mengi yanayotengenezwa huwa yanamilikwa na watu flani hivyo ili kuficha maslahi yao huwa wanafanya siri na hawataki watu wengine wajue :

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano ile Nazc lines ilicholwa na nan? mistali imekuwepo karne nyng hata kabla ya JC.N mistali ambayo iliujue ujumbe kusudiwa wa hiyo micholo n lazma uwe angan ndo unapata picha halisi ya kile kilcho cholwa. sasa tujiulze mcholaj alipata wap ndege au chombo cha kmpeleka angan ili kpata pcha halisi ya kile alichokua anachola. zingatia kua Wakat huo hakukua na ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani aliyechora ramani ya dunia alikaa wapi? Halafu ni ujinga kuamini kuwa watu wa zamani hawakuwa na technolojia kubwa .
Hebu angalia Pyramids angle iliyokaa na hata engineers waliotumika hapo halafu bado tu unaamini kuwa watu wa kale walikuwa hawana high tech? Kikubwa ni kuwa unaamini mzungu alivyotaka uamini hebu kaangalie hii video inayomuhusu plato.
"ALLEGORY OF THE CAVE"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhumuni la kukuuliza hilo swali ni kuwa kama ulivyouliza kwa nini madawa huwa hayatengenezwi vyuoni ki kuwa madawa mengi yanayotengenezwa huwa yanamilikwa na watu flani hivyo ili kuficha maslahi yao huwa wanafanya siri na hawataki watu wengine wajue :

Sent using Jamii Forums mobile app
una habari hata hivyo vyuo ambavyo tunapata elimu kuna mitaala tunakuwa limited sana...

unajua kuna watu wanaandaaa mtaala wako nini usome nini usisome...
karibia vyuo vyote Vikubwa duniani vipo chini ya familia 13 tajiri zaidi duniani hasa familia ya Rockerfeler inayomiliki vyuo karibu kumi America including Havard,Cornell na vingine vikumbwa..

kwa hiyo swala la kuchagua kina nani wafundishww hiki kina nani wafichwe ndo wao..

ndo mana nakwambia hivi inasemekana kabsaa kuwa familia hizo zime inherit exess DNA bases kuliko familia yoyote duniani..

Inasemekana kabsaa kuwa Familia hizo za Rotchkid,Rockerfellee na zingine ndo zilipata access ya kuwa na pure hybrid from humanoid na uwezo wao wa akili upo juu snaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliens kuwaona ni bahati snaa ...sio kwamba mpaka kila mtu awashuhudie ..kwanza ikitokea umeaona ukatoa taarifa serikali inazimisha kimya sna swala hiko kabla halijawafikia raia wa kawaida...

kuna maeneo kadhaaa duniani ambapo Aliens wanahusishwa kutua na baadhi ya maeneo hayo ni kama Peru,Brazil,America including mexico,German,England,Netherland,South Africa,pamoja na Zimbabwe...

Pia kuna maaeneo baadhi yanahusishwa kutua hao Aliens..

Swala la kusema unahitaji kuwaona hao Aliens hapa Tanzania ili ujiridhishe ni ngumu kwani nchi zinazochimba hayo madini ni washirika wakubwa na hao Aliens..

inasemekana kabsa kuwa kuna baadhi ya watu wamepata mental abduction kutokana na direct human contact with Aliens unless otherwise waamue kukuacha tu uwatazame...

Tanzania sio eneo rasmi la kutua hao viumbe lakini kuna baadhi ya sehemu usiku wanatua kwa kutumia vyombo vyao maarufu kama Sourcer .

Fanya tafiti hasa nyakati za usiku maeneo yenye uwazi mkubwa (Lanch) halafu kaaa usiku wa manane maeneo hayo utaweza kunotes paranormal sitiltings za abnormal beings maeneo hayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabisa mkuu jana kuna binti mmoja wa kiallien kaniomba namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani aliyechora ramani ya dunia alikaa wapi? Halafu ni ujinga kuamini kuwa watu wa zamani hawakuwa na technolojia kubwa .
Hebu angalia Pyramids angle iliyokaa na hata engineers waliotumika hapo halafu bado tu unaamini kuwa watu wa kale walikuwa hawana high tech? Kikubwa ni kuwa unaamini mzungu alivyotaka uamini hebu kaangalie hii video inayomuhusu plato.
"ALLEGORY OF THE CAVE"

Sent using Jamii Forums mobile app
Now kuna kuna vifaa angan kbao..Vinauwezo wakchukua ata picha ya panya .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una habari hata hivyo vyuo ambavyo tunapata elimu kuna mitaala tunakuwa limited sana...

unajua kuna watu wanaandaaa mtaala wako nini usome nini usisome...
karibia vyuo vyote Vikubwa duniani vipo chini ya familia 13 tajiri zaidi duniani hasa familia ya Rockerfeler inayomiliki vyuo karibu kumi America including Havard,Cornell na vingine vikumbwa..

kwa hiyo swala la kuchagua kina nani wafundishww hiki kina nani wafichwe ndo wao..

ndo mana nakwambia hivi inasemekana kabsaa kuwa familia hizo zime inherit exess DNA bases kuliko familia yoyote duniani..

Inasemekana kabsaa kuwa Familia hizo za Rotchkid,Rockerfellee na zingine ndo zilipata access ya kuwa na pure hybrid from humanoid na uwezo wao wa akili upo juu snaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu hata plato alishakiongelea kwenye ALLEGORY OF THE CAVE na akaongeza kusema kuwa kuna type mbili za education ya kwanza ni special na wanasoma watu waliochagukiwa tu nadhani ndo hizo families na nyengine ndo wanasoma watu ambao watatumika na hao families namaanisha mimi na wewe tunasoma type ya pili ya education . Na hapo kwenye Pure hybrid form unamaanisha NEPHILIMS au REPTILIANS kwa kuwa naona watu wengi sana huwa wanachanganyia hapo? Na kingine kama ni domination of earth walishaweza kufanya kuanzia kipindi cha zamani kutokana na high tech zao ila kwa nn watengeneze kiumbe ambacho kili evolve kwa miaka million kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi?

sio kuwafanyia kazi ..rudia tena kusoma uzi wangu..

Kuna sehemu nikikuwa sijaifix vizuri ..

kuna cosmic radiations iliinvade Aliens civilization kwwnye galactic za mbali huko na kuwafanya Aliens kuanza kuchange miili yao kitu ambacho kiliwafanya waanze kutafuta ni wapi wataweza kuhifadhi traits zao kwa muda wa miaka kadhaa huku wakipreserve DNA zao..

ndo wakapata kuprogram viumbe eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..

but lazima ujue kuwa this universe is so large na hao aliens obey universal laws zinazogovern existance of anything..

lakini sasa unapaswa uelewe kuwa the more unavyopata access ya juu ndipo unapokuwa na uwezo wa kucreate minimal number of poaibility ya kitu chochote kiishi under your control...

Swala la kusema kwa kuwa wana technolojia kubwa wanapaswa wachimbe wao mimi siafikiani nalo kwani kumbuka everything is by limitation sehemu flani..

Atmosphere ya huku duniani might be different from the atmosphere ya galactic civilized planets za huko ..

pengine atmospheric condition ya huku inawalimit kufanya mambo flani ndo mana hata uwepo wao unakuwa ni wakuonekana mara moja moja...

Japo una uwezo wa kufanya kila jambo there are altenative to do..

Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..

Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..

ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..

lakini kwwnye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...

Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..

unajua kama unataka kubifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..

Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNa A ndan ya miili yetu..??

Weka ushabiki wa viumbe hawa kusadikika but think more on that..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom