Hiki kitu hata plato alishakiongelea kwenye ALLEGORY OF THE CAVE na akaongeza kusema kuwa kuna type mbili za education ya kwanza ni special na wanasoma watu waliochagukiwa tu nadhani ndo hizo families na nyengine ndo wanasoma watu ambao watatumika na hao families namaanisha mimi na wewe tunasoma type ya pili ya education . Na hapo kwenye Pure hybrid form unamaanisha NEPHILIMS au REPTILIANS kwa kuwa naona watu wengi sana huwa wanachanganyia hapo? Na kingine kama ni domination of earth walishaweza kufanya kuanzia kipindi cha zamani kutokana na high tech zao ila kwa nn watengeneze kiumbe ambacho kili evolve kwa miaka million kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi?
Sent using
Jamii Forums mobile app
sio kuwafanyia kazi ..rudia tena kusoma uzi wangu..
Kuna sehemu nikikuwa sijaifix vizuri ..
kuna cosmic radiations iliinvade Aliens civilization kwwnye galactic za mbali huko na kuwafanya Aliens kuanza kuchange miili yao kitu ambacho kiliwafanya waanze kutafuta ni wapi wataweza kuhifadhi traits zao kwa muda wa miaka kadhaa huku wakipreserve DNA zao..
ndo wakapata kuprogram viumbe eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..
but lazima ujue kuwa this universe is so large na hao aliens obey universal laws zinazogovern existance of anything..
lakini sasa unapaswa uelewe kuwa the more unavyopata access ya juu ndipo unapokuwa na uwezo wa kucreate minimal number of poaibility ya kitu chochote kiishi under your control...
Swala la kusema kwa kuwa wana technolojia kubwa wanapaswa wachimbe wao mimi siafikiani nalo kwani kumbuka everything is by limitation sehemu flani..
Atmosphere ya huku duniani might be different from the atmosphere ya galactic civilized planets za huko ..
pengine atmospheric condition ya huku inawalimit kufanya mambo flani ndo mana hata uwepo wao unakuwa ni wakuonekana mara moja moja...
Japo una uwezo wa kufanya kila jambo there are altenative to do..
Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..
Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..
ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..
lakini kwwnye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...
Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..
unajua kama unataka kubifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..
Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNa A ndan ya miili yetu..??
Weka ushabiki wa viumbe hawa kusadikika but think more on that..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app