Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..

tuweke mambo ya bible na quran..lets talk reality ya wapi technolojia inatoka ndo tukane uwepo wa viumbe vilivyotuzidi maarifa..

Tumekalia kusema ni conspirancy bika kujua kwanini tunasurvive with high technological improvement

Human civilizatiom has brought by number of several factors japo ukweli unabaki kwenye siri..

But tunaweza umiza vichwa kuanza na kwanini uwepo wa technolojia unashindwa kudhibitisha kama mwanadamu ndo mvumbuzi au anapewa direction nini afanye..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nairudisha Grand Bible uwanjani Mkuu, naamini haijamisi maarifa tuyatakayo. Katika kitabu cha AYUBU 82:6 "Mimi nimesema ndinyi miungu na wana wa aliye juu..."
Kwakusema hivi binadamu yuko installed na uungu wa kimungu, so teknolojia anaipata katika uwezo huo wa ki Mungu.
Lakini kwa wale waliosi na kuungana na jeshi asi la shetani ambae nae alitoka kwa Mungu akiwa na Teknolojia ya hali ya juu, wananufaika na maarifa ya kimungu pia, pitia KITABU CHA HENOKO SURA YA 8, imefafanua dhahiri binadamu alishushiwa maarifa makubwa ya kutisha na nani.
 
mkuu Da Vinci..hebu tujiulize source ya technolojia tuliyonayo in relation to human brain ya sasa hivi...

Una amini kweli kuwa ni binadamu wa kawaida anaeratibu yote hayo...??

Ukitaka kujua hilo fikiria uwezo wako binafsi ulio nao juu ya difficultness unazokumbana nazo na je uwewahi kujiona kuwa ww una uwezo wa kufanya jambo lolote bila asistance yoyote toka kwa mtu yoyote..??

jinsi utakavyo jievaluate uwezo wako wa kiakiki ndivyo ilivyo hata kwa wengine...
point to note ni kwamba tunaegemea zaidi kusema ni conspirancy laki hebu jiulize wanaoratibu mambo hayo ni akina nani...

Leo hii jaribu kuangalia hata utengenezwaji wa madawa unabaki kuwa ni siri nzito...
Lakini kwann taasisi zinazotengeneza hazipo mavyuoni ambapo ndo elimu zote zinatolea lakini kwann wanaotengeneza wapo nje kabsaa na vyuo au mahala elimu hiyi inapotolewa..??

tusiishie kupuuza lakini uliza akili yako nyuma ya pazia kuna nini..

kwann mambo yanaratibiwa kwa siri...
??

Everything becomes conspiracy if not proven otherwise..but how should we rely on that....
ndo mana kuna principle tunaziishi lakini ndo conspirancy zenyewe hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maslah ya watu wachache kwa manufaa yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lifecoded kwanini unaamini hao aliens wana akili kuliko binadamu ulishawahi kuwaona?

Kama binadamu waliumbwa na aliens je wao waliumbwa na nani?

Vipi kuhusu viumbe wengine kama mbuzi, mbwa, chui, tembo, nyoka n.k wao waliumbwa na nani.

By the way nimefurahia somo kule juu kwenye purine na pyrimidines.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]on[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hapa bongoland kuna eneo la Siri? Sio wapi, je lipo?

Kwanini aliens walitutengeneza ili tuwafanyie kazi wakati wao wana uwezo na ujuzi kuliko "sisi"? Si wangekuja tu kwenye sayari ya dunia na kuchimba walichotaka na kuendelea na maisha yao bila uwepo wa binadamu?

Sasa huko universe waliharibu sayari yao na kumaliza malighafi, wakaja duniani kutafuta hayo madini , before hawajam programme binadamu na kumuweka duniani hii dunia ilikuwa inakaliwa na Nani?

Kuna other specie ilikuwa wiped out ili binadamu aweze kupandikizwa hapa duniani? Ushahidi usio na Shaka kuhusu uwepo wa aliens upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haupoooo

Ili niamin kuwa hao alliens wapo nilitewe.mmoja hapa niongee nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huenda kulikuwa na other species katika dunia hii ila ika be wiped out kupisha expression ya programmed human genome...

Lakini pia kuna kitu tunaweza kijuliza pia ,pengine sunlight frequency zinazofika hapa duniani ndo imeonekana kama favourablr kuliko frequency zinazogonga huko sayari zingine na kufanya kuwe unfavourable area kwa kuruhus progressive human genome transcription ..

Kwa sababu hata during DNA expression tunaona energy frequency flani inahitaji kwa ajili ya kuactivate akina helicase na wenzie...

patamu hapo duuuh...

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu shetani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wameumbwa na nani ebu,biambie ww wanakutumiaje kuwapelekea madini huko kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna several thousands civilization za Viumbe katika universe...kumbuka umiverse is huge with a lot of unknown discovered civilizations..

Aliens are among civilized race occupying some specific planes with specific range of galaxy...

kuna baadhi ya galaxy kuna aina yake ya viumbe....

unaposema Aliens kuoccupy the whole universe sio kweli...

Wapo katika level tofaut depending na galaxy waliopo...inawezekana kabsaa hao Aliens waliopo kwetu ni kwa sabubu wapo ndani ya Milky way galaxy tu ila ukienda galaxy zingine utakuta aina nyingine ya viumbe wenye rank flan ya knowlege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tusije kweli kuwa tumeprogramiwa na Aliens kuwasaidia kuchukua hayo madini yaliyosambaratika kutoka kwao huko miaka mingi iliyopita na kuwafanya kuuumiza akili sana namna ya kufanya hiyo kazi ya kuanza kutafuta madini underground kwetu ila wakaamua kuprogram species watakaofanya hiyo kazi??"

Mkuu hapo penye bold ina maana hao Aliens walio na akili kwa kiasi kikubwa walishindwa kabisa kuyarudisha madini yalipokuwa mpaka kuamua kumuumba binadamu ambaye leo hii anayatumia hayo madini kwa matumizi yake mwenyewe?
Mkuu umeshapeleka madin kiasi gani mkuu tungekuwa misukule tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna several thousands civilization za Viumbe katika universe...kumbuka umiverse is huge with a lot of unknown discovered civilizations..

Aliens are among civilized race occupying some specific planes with specific range of galaxy...

kuna baadhi ya galaxy kuna aina yake ya viumbe....

unaposema Aliens kuoccupy the whole universe sio kweli...

Wapo katika level tofaut depending na galaxy waliopo...inawezekana kabsaa hao Aliens waliopo kwetu ni kwa sabubu wapo ndani ya Milky way galaxy tu ila ukienda galaxy zingine utakuta aina nyingine ya viumbe wenye rank flan ya knowlege

Sent using Jamii Forums mobile app
Hey niletee huyo allien mmoja jaamaa angu tutaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hapa bongoland kuna eneo la Siri? Sio wapi, je lipo?

Kwanini aliens walitutengeneza ili tuwafanyie kazi wakati wao wana uwezo na ujuzi kuliko "sisi"? Si wangekuja tu kwenye sayari ya dunia na kuchimba walichotaka na kuendelea na maisha yao bila uwepo wa binadamu?

Sasa huko universe waliharibu sayari yao na kumaliza malighafi, wakaja duniani kutafuta hayo madini , before hawajam programme binadamu na kumuweka duniani hii dunia ilikuwa inakaliwa na Nani?

Kuna other specie ilikuwa wiped out ili binadamu aweze kupandikizwa hapa duniani? Ushahidi usio na Shaka kuhusu uwepo wa aliens upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongoland nahisi ni kambi ya jeshi MZINGA[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom