Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
Nairudisha Grand Bible uwanjani Mkuu, naamini haijamisi maarifa tuyatakayo. Katika kitabu cha AYUBU 82:6 "Mimi nimesema ndinyi miungu na wana wa aliye juu..."ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..
tuweke mambo ya bible na quran..lets talk reality ya wapi technolojia inatoka ndo tukane uwepo wa viumbe vilivyotuzidi maarifa..
Tumekalia kusema ni conspirancy bika kujua kwanini tunasurvive with high technological improvement
Human civilizatiom has brought by number of several factors japo ukweli unabaki kwenye siri..
But tunaweza umiza vichwa kuanza na kwanini uwepo wa technolojia unashindwa kudhibitisha kama mwanadamu ndo mvumbuzi au anapewa direction nini afanye..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakusema hivi binadamu yuko installed na uungu wa kimungu, so teknolojia anaipata katika uwezo huo wa ki Mungu.
Lakini kwa wale waliosi na kuungana na jeshi asi la shetani ambae nae alitoka kwa Mungu akiwa na Teknolojia ya hali ya juu, wananufaika na maarifa ya kimungu pia, pitia KITABU CHA HENOKO SURA YA 8, imefafanua dhahiri binadamu alishushiwa maarifa makubwa ya kutisha na nani.