Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Piramids zimetumiwa na makuhani wa kimisri kuwasiliana na Miungu..!?[emoji33]

Mlima sinai _Musa katokewa na kiumbe...! Kikampa Amri..!?[emoji33]

Yesu kaenda kusali mlimani katokewa na kiumbe kikamtia nguvu..? Tena kila wakati yeye anaenda milimani Tu..!?[emoji13]

Jabal hira_Mtume katokewa na kiumbe..!? Kampa wahyi[emoji33]

Yaani milima tuna na viumbe wa ajabu kutoka kusikojulikana...Hawastuki tu.! [emoji3][emoji16][emoji16]

Me nadhani Space ship zitakuwa zinafichika vizuri milimani [emoji1][emoji1][emoji1]

Nawaza tu ila kwa sauti
 
Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi...

sasa mkuuu hapa ulipogusa watu wengi hawatakuamini kabisa ila ni fact na ndio ukweli wenyewe

katika pitapita zangu hiyo issue nimeiona hongera kijana

nina nyuzi zangu siku nikipata nafasi nitazileta nazan zitawaaminisha zaidi
 
Piramids zimetumiwa na makuhani wa kimisri kuwasiliana na Miungu..!?[emoji33]

Mlima sinai _Musa katokewa na kiumbe...! Kikampa Amri..!?[emoji33]

Yesu kaenda kusali mlimani katokewa na kiumbe kikamtia nguvu..? Tena kila wakati yeye anaenda milimani Tu..!?[emoji13]

Jabal hira_Mtume katokewa na kiumbe..!? Kampa wahyi[emoji33]

Yaani milima tuna na viumbe wa ajabu kutoka kusikojulikana...Hawastuki tu.! [emoji3][emoji16][emoji16]

Me nadhani Space ship zitakuwa zinafichika vizuri milimani [emoji1][emoji1][emoji1]

Nawaza tu ila kwa sauti
Umenifanya nitulie nirudie tena kusoma ulichopost Mkuu ,km nimekuelewa vile
 
...kila mtu ana mlango wa kutokea..

the matrix system of reality offers permutation ( Njia tofauti kwa kila mtu,life codes open by permutation system).

The way unavyoichukulia dunia na unachokiona wewe kipo tofauti na mtu mwingine anavyopersive ndo mana tunapersive tofauti tofauti..

Kila mtu kashikiliwa kwa life code flani maishani mwake ,ndo mana life pathy ya kila mtu ni tofauti tofauti( soma kuhusu CHALDEAN NUMEROLOGY VIZURI)

DNA zinatengenezwa katika permutation system( mfumo ambao haufanani na mwingine ) ili kila mtu anashikiliwe na matrix system kwa strength tofauti tofauti ili kuepusha kuingiliana kwa mawimbi ya ufahamu baina yako wew na ulimwengu unaokushikilia..kika mtu anaisha kutokana na mawimbi( frequency range flani) yanayokufanya Ujulikane kwenye mfumo unaoshikilia kila kitu katika ulimwengu huu..

Imagine redio stations zingekuwa zinatumia frequency moja( mawimbi ya aina moja) nadhani kungekuwa na mwingiliano wa sauti na usingeweza kuelewa chochote kinachorushwa na redio station hizo..ndo mana kila redio ina frequence yake na haifanani na nyingine ulimwenguni..

Ndivyo ilivyo hata katika mfumo wa DNA yako ..ina mfumo au arrangement za DNA bases tofauti na mwingine na wala hufanani na mtu yeyote ulimwenguni..

Hii ni kuruhusu uweze kuwa na fikra huru na kuweza kukufanya uwe na uwezo wa kusynchronize na universal pattern of reality pindi uingiapo katika high dimension( high perception of reality)..

Tukija kwenye swali lako la mwisho la kuwa Je kuna DNA bora kuliko zingine na ni kwanini..??

Ndio ubora wa DNA unatengemea na genetic code arrangement kwenye complimentary base pairing system..

Kwa mfano kama DNA yako yenye kuanzia na base pairing ya GGC bases ambayo inakuwa na frequence rangea lets say 234 KHZ na Mimi DNA yangu inayoanzia na arrangement ya base ya CGG ambayo ina frequency ya 108KHZ manake mimi nitakuwa na uwezo mdogo wa kusynchronize ya universal energy fild ambayo ndo imetushikilia sis sote katika frequency range tofauti tofauti na hapo tukija kwenye Intelligence wew utakuwa na intelligence kubwa kunizidi kwani DNA yako imekonectiwa kwa high energy flow kulinganisha na mimi..

Kwa hiyo kila mtu anasynchronize katika frequency range tofauti..

Ndo mana Nikola Tesla mwanasayansi hatare ambaye ilifikia sehemu akawa na uwezo wa kuona electromagnetic waves( mionzi) jambo ambalo ni ngumu kwa sisi popoma ..

na ndo mana ukisoma hidden documents zake anakwambia IF YOU WANT TO UNDERSTAND HOW NATURE IS ,THINK ABOUT ENERGY,FREQUENCY na VIBRATION..( Akimanisha ,kama unataka kuelewa mfumo mzima wa jinsi ulimwengu ulivyo fikiria kwenye hizo codes zinazoelezea hivyo vitu vitatu).

Alikuwa na maana kubwa sana..

kwa hiyo DNA zetu hazilingana mpaka ulimwengu unafutika..

But you can reshape your DNA base arrangement kama unataka kuwa GENIUZ..everything is possible ,the universe is too frexible kwa kila kitu,it offers a number of options .

Hapo katika Numerology nimekuelewa
 
sasa mkuuu hapa ulipogusa watu wengi hawatakuamini kabisa ila ni fact na ndio ukweli wenyewe

katika pitapita zangu hiyo issue nimeiona hongera kijana

nina nyuzi zangu siku nikipata nafasi nitazileta nazan zitawaaminisha zaidi
karibu mkuu..
 
mkuu ukianza kushusha vitu nitagi iki tuje tujazie mambo ili watu wapate kuelewa....
 
Msiniache ktk kutag watu
 
Niliwahi kujiuliza maswali yafuatayo:-

Nani aliyegundua namba?

Kwanini kuwe na namba 1 hadi 9?

Je hizi namba zina maana ipi?

Nimerology ikajaribu kunipa mwanga
Numerology ni hatari sana...

The universal codes are asigned into numbers..

Numbers are the keys to synchronise everything with the universal pattern of reality..

symbols and numbers are the same in mode of operations but their presentation is different..

for we to understand how the universe works,we should understand how numbers and symbols represent ....
 
nimesomaaa naona navutwa na usingiziii nitarudiii kesho mkuuu nimependa ulivyo elezea vipande vya genes
 
Numerology ni hatari sana...

The universal codes are asigned into numbers..

Numbers are the keys to synchronise everything with the universal pattern of reality..

symbols and numbers are the same in mode of operations but their presentation is different..

for we to understand how the universe works,we should understand how numbers and symbols represent ....

Kweli kabisa ukifatilia utaligundua hilo mfano kupitia numerology utagundua mfano mimi life path namba yangu 11 yaan mule mule na maana ya 11 katka numerogy
 
Back
Top Bottom