[emoji38][emoji38][emoji38]Dawa ya moto ni moto. Hii hapa. Wakenya wana vituko sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani badala ya kucheza unajikuta tu ghafla umeingiwa na hofu maana mda wowote club inaweza waka moto.
We hujawai kufika Mombasa kama hujui Nyali bridge so shut the fuckk up msee
Amberlulu - watakoma kweli wakenya[emoji2] [emoji2]12. Amber Lulu
Mwingine anaimba mi uweka weka...weka pesa kwenye bank kisha nacheeka.
Nkajiuliza anachekea nini huyu jamaa sasa? Yaani akiweka pesa tu bank then anacheka hovyo hovyo kama baamedi kapata sehemu ya kulala usiku? Loh!
Kenyans you are done musically.