PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Dawa ya moto ni moto. Hii hapa. Wakenya wana vituko sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Yaani badala ya kucheza unajikuta tu ghafla umeingiwa na hofu maana mda wowote club inaweza waka moto.

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
We hujawai kufika Mombasa kama hujui Nyali bridge so shut the fuckk up msee


Hahaha....Jamaa wa Nyali Bridge iko Dubai sahii anasema ashawai fika Mombasa? Humu Wabongo husema wamefika sehemu zote Kenya yet they're the least travelled East Africans. True story btw.
 
Mwingine anaimba mi uweka weka...weka pesa kwenye bank kisha nacheeka.

Nkajiuliza anachekea nini huyu jamaa sasa? Yaani akiweka pesa tu bank then anacheka hovyo hovyo kama baamedi kapata sehemu ya kulala usiku? Loh!

Kenyans you are done musically.


Mistari Kali eeh? Hiyo ngoma huninice tu saana.
 
Back
Top Bottom