'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda.

Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani.

Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea na Fikra inavyoweza badilishwa juu ya Jambo fulani katika Jamii.

Ni kitabu kizuri ukikisoma utajifunza mengi.
 

Attachments

Back
Top Bottom