Propaganda za kukuza uwezo wa Rwanda kijeshi zinahatarisha usalama wa nchi yetu hapo baadaye

Hili la watu kuingizwa kwa vimemo na kadi za CCM ni real nimeshuhudia.
CCM inaharibu kila kitu
 
Ukweli mchungu. Wakithubutu kwenda vitani hakika watachapika mno maana kwa sasa hakuna Mwananchi wa kujitoa kama ilivyokuwa kwenye vita vya Kagera.
 
Thubutu, watapigwa drones za kutosha hadi wapoteane.
Akili ya kawaida tu inatosha kukuwezesha kujua kuwa hata kama Rwanda wana drones, ni chache.
Kikubwa ni kwamba yaweza kusaidiwa na mabeberu kwa siri ikiwa ni hub ya kutorosha utajiri wa DRC.
 
Wewe ni wale aina ya watu wanajifanya wajuaji wa kila kitu hukubali kujifunza kutoka kwa wengine unajifanya much know sana🚮sipendi mtu mjuaji
 
Akili ya kawaida tu inatosha kukuwezesha kujua kuwa hata kama Rwanda wana drones, ni chache.
Kikubwa ni kwamba yaweza kusaidiwa na mabeberu kwa siri ikiwa ni hub ya kutorosha utajiri wa DRC.
Uimara wa jeshi ni katika matumizi ya teknolojia, na sio wingi wa watu.
 
Waendelee kuufyata tu, wakithubutu tutaaibika asubuhi kabisa. Kwa sasa Rwanda ametuzidi kwenye teknolojia, huo ndio ukweli mchungu.
Nenda shule ukadai ada yako,
hata mtoto mdogo anajua Rwanda ikigusa tz siku haitaisha kitakuwa kijiji kimojawapo cha vijiji vya tz na wao wenyewe wanajua

Silaha zao zinapita bandarini Africa mashariki wahusika wanaziona wanazijua , silaha za bongo unazijua wewe? Acha kusifia ujinga, yaani kijiji kishinde nchi ya watu 60m?
Punguza ujinga
 
Nikajua ni missile wa kule kwenye pilau 😂😂
 
Rwanda management team studied and wamekulia US,he was trained by them,usitegemee hata chembe na wale vijana wanaofanya kazi nje ya nchi ya US,pia akitaka msaada kuna subcontractors wengi sana wakijeshi US hawana kazi isifikirie hawezi wapata,hata yeye jeshi lake lipo imara sana.
Kule kila mitaa kuna polisi plus checkpoint and hua anatembea kufanya doria usku wa manane.
Usiongee Kwa kukaa chumbani kwako tembea uone wenzetu wanavyoishi then njoo uongee.
Plus jamaa he is very very smart kichwani
 

Acha vituko Mkuu
 
Uimara wa jeshi ni katika matumizi ya teknolojia, na sio wingi wa watu.
Wingi wa watu, teknolojia na idadi ya vifaa inahusika sana. Hapo M23 wameiteka Goma kwa uwepo wao (idadi).
 

Waziri wa ulinzi mmama anaweza kweli kuamsha morali kwa wapiganaji wetu au atabaki kuumwa tumbo la uzazi akisikia drone za adui zinatatema cheche🤣
 
Acha propaganda za uvccm hizo.
 
Hizo sio sababu, angalia waisrael wanavyohamia kwenye nchi za watu lakini likija swala la vita hawakamatiki kiurahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…