Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #121
Hizo sio sababu, angalia waisrael wanavyohamia kwenye nchi za watu lakini likija swala la vita hawakamatiki kiurahisi.
Acha ujinga, mbona Trump alipinga ushiriki wa USA vita ya Ukraine na Gaza na bado akapewa kura za kumwaga. Hata DA Ilikataa ziara ya Putin Afrika kusini licha ya kwamba ni jambo la kitaifa.Moja ya kosa linalofanywa na wapinzani ni kufikiri wao wakipewa nchi wataongoza watu tofauti na Watanzania waliopo sasa. Ni muhimu kwenye mambo serious yanayogusa future ya nchi yetu hasa mambo ya ulinzi wa nchi, wote tuwe na sauti moja bila kujali wewe ni upinzani au chama tawala. Jeshi ndiyo chombo pekee cha ulinzi wa mipaka ya nchi yetu. Halistahili kubezwa hata kidogo. Kwa hapa East and Central Africa tuna jeshi Imara na bora sana.
Sujui kwa nini umeanza na neno “acha ujinga” Hii nayo ni changamoto nyingine kubwa tuliyonayo hapa kwetu ya kujaribu kufikiri matusi ni hoja. Nadhani unatakiwa kuniomba radhi, tunaweza kujadili bila kuvunjiana heshima na hiyo ndiyo inatufanya tujenge hadhi yetu mbele ya wengine.Acha ujinga, mbona Trump alipinga ushiriki wa USA vita ya Ukraine na Gaza na bado akapewa kura za kumwaga. Hata DA Ilikataa ziara ya Putin Afrika kusini licha ya kwamba ni jambo la kitaifa.
Unafiki ndio umetufikisha hapa, yaani muungane hata kama kitu ni kiovu?
Kingine sijasikia Lissu wala Mnyika wakisema lolote kuhusu vita hiyo in fact hata zitto anaunga mkono JWTZ kupiga waasi sasa unaposema wapinzani wanaipinga serikali kwenye issue ya vita ni kina nani?
Sio kweli, jeshi linailinda CCM mara kibao tu wapinzani wanatekwa, chaguzi zinaibiwa na serikali kuingia mikataba mibovu ya kuuza rasilimali zetu ila jeshi lipo kimya tu. Hata upinzani ukipanga maandamano unasikia jeshi linataka kufanya usafi!! Hii ni nidhamu gani?Jeshi halilindi vyama bali linalinda Raia.
Kumradhi sana mkuu it won't happen again.Nadhani unatakiwa kuniomba radhi,
Unawajuaje? Hao ni mashabiki tu hata kadi hawana. Ni muhimu misimamo ya chama uichukue kutoka official sources za chama sio post za sisi washabiki wa vyama. Maadam Lissu, Zitto n.k hawajasema lolote basi ni fair ukisema upinzani haujaonyesha hiki unachodai.Vijana wengi wenye haiba za upinzani
Umemsikia malema? Kakosoa uwezo wa jeshi la South Africa licha.Kuhusu kukataa vit fulani hilo ni jambo la kawaida lakini kudharau jeshi letu sio sawa na haipaswi kuunga mkono
Sio lazima, nimekupa mfano wa Trump amekua akikosoa majeshi ya US yanayolinda na mpaka na hata aliposhinda kafanya teuzi mpya nyingi ili kubadili jeshi hilo. Tuache unafiki ndio unaotumaliza, sasa M23 imetupiga majeshi zaidi ya 7 na kuteka Goma na sasa wanaelekea Bukavu bado tusifiane tu!! Si tutakua delusional.Na mimi ninasema, lazima tuliunge mkono jeshi letu
Mkuu Zitto Junior; hayo uliyoyataja siyo majukumu ya JWTZ; hayo ni majukumu ya vyombo vingune vya ulinzi na usalama. Ni muhimu sana kuchora mstari huo ili kuavoid distortion. Unaweza kupitia majukumu ya JWTZ hapa; Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaSio kweli, jeshi linailinda CCM mara kibao tu wapinzani wanatekwa, chaguzi zinaibiwa na serikali kuingia mikataba mibovu ya kuuza rasilimali zetu ila jeshi lipo kimya tu. Hata upinzani ukipanga maandamano unasikia jeshi linataka kufanya usafi!! Hii ni nidhamu gani?
Appology noted. Huu ni uungwana.Kumradhi sana mkuu it won't happen again.
Hili kwangu lilikuwa ni angalizo kwa wapinzani wenye fikra hizo. Kama kwako haina mashiko haina shida tuishi.Unawajuaje? Hao ni mashabiki tu hata kadi hawana. Ni muhimu misimamo ya chama uichukue kutoka official sources za chama sio post za sisi washabiki wa vyama. Maadam Lissu, Zitto n.k hawajasema lolote basi ni fair ukisema upinzani haujaonyesha hiki unachodai.
Malema pia ni aina ya wapinzani very conservative, mimi sio muumini wa siasa za aina hiyo. Kwangu mimi kiongozi anayekosoa uwezo wa jeshi la Nchi yake siwezi kumuunga mkono.Umemsikia malema? Kakosoa uwezo wa jeshi la South Africa licha.
Conclusion kuwa M23 imepiga majeshi zaidi y saba ni misleading kwani sisi hatuko kwenye uwanja wa vita. Tunachojua pale kuna mission mbili moja ya MONUSCO na nyingine ya SAMIDRC. Na zote tumechangia wanajeshi. Mission ya MONUSCO haipigani kabisa na hatujui scope ya SAMIDRC inaishia wapi, sidhani kama ni all out offensive. Nadhani ni logical error kuconclude kuwa majeshi ya nchi saba yamepigwa.Sio lazima, nimekupa mfano wa Trump amekua akikosoa majeshi ya US yanayolinda na mpaka na hata aliposhinda kafanya teuzi mpya nyingi ili kubadili jeshi hilo. Tuache unafiki ndio unaotumaliza, sasa M23 imetupiga majeshi zaidi ya 7 na kuteka Goma na sasa wanaelekea Bukavu bado tusifiane tu!! Si tutakua delusional.
Mkuu wewe ndio umeleta hii hoja, wakiepusha vurugu baada ya kifo cha JPM unaona ni majukumu yao ila vurugu za kwenye chaguzi 2020 mpaka watu wanauawa zanzibar unaona sio majukumu yao? Kuzuia maandamano yaliyo kikatiba eti kwa kigezo cha "kufanya usafi" ni majukumu yao?Imagine baada y akifo cha JPM tungekuwa na jeshi la hovyo nini kingetokea??
Mkuu,Mkuu wewe ndio umeleta hii hoja, wakiepusha vurugu baada ya kifo cha JPM unaona ni majukumu yao ila vurugu za kwenye chaguzi 2020 mpaka watu wanauawa zanzibar unaona sio majukumu yao? Kuzuia maandamano yaliyo kikatiba eti kwa kigezo cha "kufanya usafi" ni majukumu yao?
Kwahiyo nchi kuongozwa na mafisadi ambao wanauza rasilimali za nchi yetu sio risk ya usalama wetu? Au mtu kuvuruga uchaguzi na kupelekea vifo na machafuko sio risk ya kiusalama?Mkuu,
Kwa maoni yangu, Rais anavyokuwa amefariki akiwa madarakani, Jeshi linakuwa vigillant kwa kuwa ni kipindi hatari kwa Nchi. Na kumbuka Amir Jeshi Mkuu anakuwa hayupo at that point mpaka aapishwe mwingine kwa mujibu wa katiba. Nadhani walifanya kazi yao vizuri ukirejea pia press ya CDF mstaafu. Na ninadhani hoja yangu ilikuwa hiyo na kwa contecxt hiyo wanakuwa wakitimiza jukumu lao.
Nje ya hapo, kwa hayo mengine ni majukumu ya watu wengine, walaumiwe hao badala ya kutupa mpira kwa JWTZ kwa maoni yangu.
With due respect Mkuu, hii sio kazi ya JWTZ. Ni muhimu kujikita kwenye majukumu yao. Na wakifanya hicho unachokitaka ni risk zaidi, God forbid.Kwahiyo nchi kuongozwa na mafisadi ambao wanauza rasilimali za nchi yetu sio risk ya usalama wetu? Au mtu kuvuruga uchaguzi na kupelekea vifo na machafuko sio risk ya kiusalama?
JWTZ hawawezi kwepa lawama, wangekua serious huu uchafu wa CCM usingefanyika. Mfano walipewa tender ya kulinda Mererani ila bado Mama samia alisema dhahabu ilitoroshwa kama kawaida, hao JWTZ walikua wapi?
Hii si kazi yao; haiko kwenye majukumu yo, wakifanya unachokitaka maana yake wapindue nchi. Is this what you want??Mie naamini jeshi likitoa onyo kwa wizi wa kura tutaona chaguzi huru na haki na hivyo kuepusha machafuko
Kwa teknolojia gani tuliyonayo mkuu? Jeshi limesheheni MAKADA wa CCM watashindia vita wapi? Acha mzaha basi.Nenda shule ukadai ada yako,
hata mtoto mdogo anajua Rwanda ikigusa tz siku haitaisha kitakuwa kijiji kimojawapo cha vijiji vya tz na wao wenyewe wanajua
Silaha zao zinapita bandarini Africa mashariki wahusika wanaziona wanazijua , silaha za bongo unazijua wewe? Acha kusifia ujinga, yaani kijiji kishinde nchi ya watu 60m?
Punguza ujinga
Na hilo suala linazua mtafaruku hata US kipindi cha Biden au hufuatilii mambo?Hizo sio sababu, angalia waisrael wanavyohamia kwenye nchi za watu lakini likija swala la vita hawakamatiki kiurahisi.
Hakuna cha propaganda huo ndiyo ukweli wenyewe.Acha propaganda za uvccm hizo.