mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.
1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour, hatuwezi Tena kutumia usemi huo.
2. Lengo kuu la royal tour ni kutengeneza pesa na inauzwa kwahivo kigezo cha kusema inaitangaza Tanzania ni uongo, Yani Kama ndo hivyo ingepatikana bure kwanini iuzwe Wakati inapaswa kuonekana na watu wote bure.
3. Mama ndo sterling sijui watamlipa au lah.
4. Muvi itaachiwa Free baada ya mwenyenayo kurudisha faida