Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.

1. Royal tour ni Mali ya huyo peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour, hatuwezi Tena kutumia usemi huo.
2. Lengo kuu la royal tour ni kutengeneza pesa na inauzwa kwahivo kigezo Cha kusema inaitangaza Tanzania ni uwongo, Yani Kama ndo hivo ingepatikana bure kwanini iuzwe Wakati inapaswa kuonekana na watu wote bure.
3. Mama ndo stering sijui watamlipa au lah.
4. Muvi itaachiwa Free baada ya mwenyenayo kurudisha faida
Sasa wewe nae ni kajinga,naomba niishie hapa.
 
Hakuna mzungu ambaye anafanya kazi kwa hasara
 
Wadau sector ya utalii kama wenye makampuni, tour guide nk wanasikitika sana kwa uongo uliotumika kwenye hiyo sinema.

Bahati mbaya hata BiM alikosea alipoongelea issue ya muda wa kuja kutalii, ambapo hakupaswa kusema mwezinwa nane ndiyo mzuri sababu ya kuhama kwa nyumbu, hapo ni katoa betri kwenye saa!.

Wadau wa utalii wanasema wakati wanashoot sinema hawakufuata utaratibu mzuri kulingana na maeneo ya msingi.

Kifupi wanasema 'tumepigwa'
 
Takwimu za watalii wanaotembelea vivutio vyetu zitaanza kupikwa ili kumfurahisha starring.
 
Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.

1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour, hatuwezi Tena kutumia usemi huo.

2. Lengo kuu la royal tour ni kutengeneza pesa na inauzwa kwahivo kigezo cha kusema inaitangaza Tanzania ni uongo, Yani Kama ndo hivyo ingepatikana bure kwanini iuzwe Wakati inapaswa kuonekana na watu wote bure.

3. Mama ndo sterling sijui watamlipa au lah.

4. Muvi itaachiwa Free baada ya mwenyenayo kurudisha faida
Kwahiyo tunatumika , obviously
 
Wabongo hawaungagi mkono chao wao ni kukipingaaaa

Naambiwa na mkenya mmja hapa

Ova
 
Amekwambia hana hela. Hangaikia ya kwako wengine humu huwawezi na kama unajidai unayemjibu hivyo ndiye peter wa kwenye Royal tour so hapo upon.

Shangaaa itakua ye Ndio hana hela so anajua wote kama yeye[emoji1787][emoji1787]
 
Hujaona kuwa ipo amazon inauzwa? Mnufaika ni nan? Hapo ndo utakuwa na jibu. Amerca na utalii wapi na wapi? Watalii wanatoka Europe kwa sana
Kiukweli umeongea kitu ambacho watz hawatakuelewa ... Kiukweli marekani wamejitosheleza kiutalii .
 
Back
Top Bottom