Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kwa hiyo hadi sasa TBC hawajaionyesha ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miaka ya nyuma mlikua mnatamani rais tanzania awe kagame.leo mnamtaka kenyataNimejikuta nataman Kenyatta angekua raisi wa tanzania!
Waweza kuwa uko sahihi mkuu kama yeye ndiye boss wakoUnajuaje labda kashazitafuta na wako watu wanamtumikia lol yeye ni boss
Mkuu mbona mwamba kaandika madini kabisa akiwa kama mzalendo hayo ni maoni yake kwa hivyo usimkashifu yupo na haki ya kusema lolote ila asivunje sheriaMfano ungetumia muda huu kutafuta pesa kuliko kuandika upupu huu huoni kuwa lingekuwa jambo jema mkuu
Wazungu hawakurupuki safari zao za kitalii, wao hujipanga mwka hadi miaka kwamba atasafiri kwa utalii wakati gani kwani wako bize sana, hawawezi kukurupuka kuanza likizo sababu ya Royal Tour. Angalia alivyosema balozi wa Ujerumani walipo pokea ndege kubwa toka Ujerumani pale KIA, aliulzwa kama ujio wa ndege hiyo ni matokeo ya Royal Tour, na alijibu ni juhudi iliyoanza miaka mitatu iliyopita kushawishi Wajerumani kuja Tanzania (Milad Ayo TV). Pia unaweza uliza Tour Operators inquiries zilianaza kabla ya Royal Tour na hata wengine walifika mbali na kufanya bookings kabla.Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.
1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour, hatuwezi Tena kutumia usemi huo.
2. Lengo kuu la royal tour ni kutengeneza pesa na inauzwa kwahivo kigezo cha kusema inaitangaza Tanzania ni uongo, Yani Kama ndo hivyo ingepatikana bure kwanini iuzwe Wakati inapaswa kuonekana na watu wote bure.
3. Mama ndo sterling sijui watamlipa au lah.
4. Muvi itaachiwa Free baada ya mwenyenayo kurudisha faida
Unapigia Gita mbuzi,hao ni Sukuma gang wenye chuki kwa SSH kwa sababu anafunika legacy na kwenda opp na upuuzi wa MwendazakeMkuu mbona mwamba kaandika madini kabisa akiwa kama mzalendo hayo ni maoni yake kwa hivyo usimkashifu yupo na haki ya kusema lolote ila asivunje sheria
Mtajisemesha Sana..Wazungu hawakurupuki safari zao za kitalii, wao hujipanga mwka hadi miaka kwamba atasafiri kwa utalii wakati gani kwani wako bize sana, hawawezi kukurupuka kuanza likizo sababu ya Royal Tour. Angalia alivyosema balozi wa Ujerumani walipo pokea ndege kubwa toka Ujerumani pale KIA, aliulzwa kama ujio wa ndege hiyo ni matokeo ya Royal Tour, na alijibu ni juhudi iliyoanza miaka mitatu iliyopita kushawishi Wajerumani kuja Tanzania (Milad Ayo TV). Pia unaweza uliza Tour Operators inquiries zilianaza kabla ya Royal Tour na hata wengine walifika mbali na kufanya bookings kabla.