Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.

1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour, hatuwezi Tena kutumia usemi huo.

2. Lengo kuu la royal tour ni kutengeneza pesa na inauzwa kwahivo kigezo cha kusema inaitangaza Tanzania ni uongo, Yani Kama ndo hivyo ingepatikana bure kwanini iuzwe Wakati inapaswa kuonekana na watu wote bure.

3. Mama ndo sterling sijui watamlipa au lah.

4. Muvi itaachiwa Free baada ya mwenyenayo kurudisha faida
 
Ninachofahamu Rais Samia ana maslahi binafsi kwenye hiyo muvi ya royo tua. Ila Tanzania itanufaika kwa kuwa mazingira yaliyotumika ni mbuga zetu hivyo promo zitawafanya watu wengi waifuatilie hivyo kuongeza utalii kwetu. Japo mapato steringi na prodyuza watagawana kwa asilimia.

Kuona Rais amekaa amerika muda huo wote ni kuhakikisha utaratibu au partnership yao inaenda sawa kama ilivyo kwenye mkataba.
 
Mfano ungetumia muda huu kutafuta pesa kuliko kuandika upupu huu huoni kuwa lingekuwa jambo jema mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiongozi mwenzio kajipinda we unajibu kimasihara namna hiyo!!
 
Kabla ya kuanza majadiliano alitakiwa kuwa na mwanasheria mzoefu ajue haki na faida kwa pande zote mbili. Kwa CCM inawezekana wamekubaliana mgao wake atapewa akimaliza Urais. Tuliopigwa ni sisi, jamaa ametengeneza movie kwa pesa yetu.
Wajinga tunashangilia hangaya kuupiga mwingi na Royal tour hata hatujui tunafaidika nini 😭😭😭😭😭 najihurumia mimi jamani
 
Bado tunaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…