Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

Sasa wewe nae ni kajinga,naomba niishie hapa.
 
Hakuna mzungu ambaye anafanya kazi kwa hasara
 
Wadau sector ya utalii kama wenye makampuni, tour guide nk wanasikitika sana kwa uongo uliotumika kwenye hiyo sinema.

Bahati mbaya hata BiM alikosea alipoongelea issue ya muda wa kuja kutalii, ambapo hakupaswa kusema mwezinwa nane ndiyo mzuri sababu ya kuhama kwa nyumbu, hapo ni katoa betri kwenye saa!.

Wadau wa utalii wanasema wakati wanashoot sinema hawakufuata utaratibu mzuri kulingana na maeneo ya msingi.

Kifupi wanasema 'tumepigwa'
 
Takwimu za watalii wanaotembelea vivutio vyetu zitaanza kupikwa ili kumfurahisha starring.
 
Kaupiga mwingi kwa faida ya wachache
 
Kwahiyo tunatumika , obviously
 
Wabongo hawaungagi mkono chao wao ni kukipingaaaa

Naambiwa na mkenya mmja hapa

Ova
 
Ngoja tuone, binadamu wanavyokula kwa urefu wa kamba zao...
 
Mfano ungetumia muda huu kutafuta pesa kuliko kuandika upupu huu huoni kuwa lingekuwa jambo jema mkuu

Unajuaje labda kashazitafuta na wako watu wanamtumikia lol yeye ni boss
 
Amekwambia hana hela. Hangaikia ya kwako wengine humu huwawezi na kama unajidai unayemjibu hivyo ndiye peter wa kwenye Royal tour so hapo upon.

Shangaaa itakua ye Ndio hana hela so anajua wote kama yeye[emoji1787][emoji1787]
 
Hujaona kuwa ipo amazon inauzwa? Mnufaika ni nan? Hapo ndo utakuwa na jibu. Amerca na utalii wapi na wapi? Watalii wanatoka Europe kwa sana
Kiukweli umeongea kitu ambacho watz hawatakuelewa ... Kiukweli marekani wamejitosheleza kiutalii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…