Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Uchaguzi wa mwenyekiti wa cdm ni mwaka huu, ubunge ni mwakani. Hastahili kugombea uenyekiti safari hii, asuburi akagombee ubunge akiwa Hana cheo chochote.Mbowe hajawahi kuwa ambitious katika Urais, uchaguzi ujao uwezekano mkubwa ni atagombea ubunge na akishaupata anaweza hata akaachia uenyekiti wa CHADEMA kwa Lissu ambaye anatakiwa awe anagombea Urais tu mpaka aupate.