Mbowe hajawahi kuwa ambitious katika Urais, uchaguzi ujao uwezekano mkubwa ni atagombea ubunge na akishaupata anaweza hata akaachia uenyekiti wa CHADEMA kwa Lissu ambaye anatakiwa awe anagombea Urais tu mpaka aupate.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa cdm ni mwaka huu, ubunge ni mwakani. Hastahili kugombea uenyekiti safari hii, asuburi akagombee ubunge akiwa Hana cheo chochote.

Mbowe aligombea uraisi 2005 alipambania na Kikwete.
Ukweli ni kwamba Mbowe anaoenswa Sana ndani ya CDM lakini hana mvuto mkubwa nje ya chama kumpita Lissu.
Mbowe alishalijua hilo 2010, 2015, 2020 hata Sasa aligombea itakuwa kwa lengo la kuharibu au kupunguza au kuzigawa kura za upinzani.
Ukweli lazima usemwe. Mbowe anafaa zaidi kuwa mwenyekiti wa chama na siyo mgombea uraisi.