msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja.
Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa yeye ndio Simba alikua anaibeba kitu ambacho wanataka mvurugano uendelee kuwepo kusiwe na mshikamano ili iwe rahisi kwa Yanga kuchukua ubingwa.
Katika hilo hata Manara mwenyewe anahusika ili ajitengenezee brand na watu wamuone yeye ndio yuko sahihi kuliko uongozi hiyo kutuma clip kujitetea kuwa alichotuma hakihusiani ni uongo kwani alimaanisha kuhusu Kamwaga ila ishu imebuma anajitetea tu.
Wanasimba tuwa makini kipindi hiki viongozi watazushiwa mengi ili ionekane haufai na mashabiki wasiwe na iman na uongozi wao.
Shime shime mwana Msimbazi siku ya Simba day tuujaze uwanja ili kuwaziba midomo na kuona sisi tupo pamoja na uongozi na wachezaji wetu na ipendeni timu yenu 🪀🥏❤️🇹🇿