Propaganda zinasukwa Simba Day isihudhuriwe na watu wengi ili uongozi wa Simba uonekane haufai

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
683
Reaction score
551
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja.

Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa yeye ndio Simba alikua anaibeba kitu ambacho wanataka mvurugano uendelee kuwepo kusiwe na mshikamano ili iwe rahisi kwa Yanga kuchukua ubingwa.

Katika hilo hata Manara mwenyewe anahusika ili ajitengenezee brand na watu wamuone yeye ndio yuko sahihi kuliko uongozi hiyo kutuma clip kujitetea kuwa alichotuma hakihusiani ni uongo kwani alimaanisha kuhusu Kamwaga ila ishu imebuma anajitetea tu.

Wanasimba tuwa makini kipindi hiki viongozi watazushiwa mengi ili ionekane haufai na mashabiki wasiwe na iman na uongozi wao.

Shime shime mwana Msimbazi siku ya Simba day tuujaze uwanja ili kuwaziba midomo na kuona sisi tupo pamoja na uongozi na wachezaji wetu na ipendeni timu yenu 🪀🥏❤️🇹🇿
 
Acha uongo, Manara japo Mimi binafsi sijawahi penda namna anavyo zungumza ila alikua anaushawishi binafsi ku ujaza uwanja. Ata usipo ujaza Ila watu uwa wakutosha.

Mashabiki wa Simba ni watu wazima japo u mbumbumbu ni sehemu ya DNA yao wanajua mchango wa Manara katika hamasa, Ule ni uwezo wake Haji.

Kwasasa amesha ondoka mliobaki onyesheni uwezo wenu katika kuhamasisha msitafute huruma na kumfitinisha Haji na Wanasimba.

Kama mnafikiri Haji hakua na mchango wowote katika kuhamasisha mashabiki nyinyi mliobaki tumieni ushawishi au acheni kwakua mashabiki watajaa bila hamasa.
 
Acha uongo, Manara japo Mimi binafsi sijawahi penda namna anavyo zungumza ila alikua anaushawishi binafsi ku ujaza uwanja. Ata usipo ujaza Ila watu uwa wakutosha...
Acha kupotosha wewe Boya, Simba inajaza uwanja kwakuwa ina kikosi kizuri na inatoa burudani kwa kandanda safi, Manara alishafanya kwa upande wake ila sio kwamba alikuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho, mashabiki wanajaza uwanja ili kwenda kuona matokeo mazuri na burudani pia. Acha maneno yako wewe UTO.
 
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja
Wewe ndio unafanya propaganda

Unajua turn out ya Mashabiki itakuwa ndogo...hivyo ameajiaanda ikitokea hivyo Ili useme kuna watu walikuwa wanafanya kampeni dhidi ya viongozi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Acha kupotosha wewe Boya, Simba inajaza uwanja kwakuwa ina kikosi kizuri na inatoa burudani kwa kandanda safi, Manara alishafanya kwa upande wake ila sio kwamba alikuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho, mashabiki wanajaza uwanja ili kwenda kuona matokeo mazuri na burudani pia. Acha maneno yako wewe UTO.
Sasa Kama Simba inapata Matokeo mazuri Uwanjani na mashabiki wanafuata mpira mzuri Kuna haja gani ya kusema Haji anafanya hujuma watu wasijae uoni kua uo ni umbumbumbu.
Acheni kelele mashabiki watajaa uwanjani bila hamasa yoyote nyie tulieni.
 
Acha uongo, Manara japo Mimi binafsi sijawahi penda namna anavyo zungumza ila alikua anaushawishi binafsi ku ujaza uwanja. Ata usipo ujaza Ila watu uwa wakutosha...
Sio mdomo wa Mnara uliokuwa unajaza uwanja, ni kikosi bora cha Simba SC ndicho kinawapeleka watu uwanjani, kama Manara ana huo mdomo mwambie aende Mtibwa akahamasishe waujaze uwanja wa Manungu.
 
Naomba CAG aende pale Msimbazi akafanye ukaguzi wa hesabu za serikali kuna hati chafu sana na madudu mengi sana. Hizi nazokupeni ni ndani kabisa
 
Acha kupotosha wewe Boya, Simba inajaza uwanja kwakuwa ina kikosi kizuri na inatoa burudani kwa kandanda safi, Manara alishafanya kwa upande wake ila sio kwamba alikuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho, mashabiki wanajaza uwanja ili kwenda kuona matokeo mazuri na burudani pia.
Umemaliza! Hivi wanadhani Manara hata angeongea vipi halafu Simba ikawa inacheza kama utopolo wanavyocheza, washabiki ambao wangekuwa wanaenda uwanjani ni wale wenye roho ngumu tu
 
Yanga ni timu pendwa/timu ya wananchi msimu uliopita Yanga bila mbwembwe waliujaza uwanja saa 11mageti yote ya uwanja yalikua yameshafungwa watu wasi ingie ndani. Watu waliokua nje na kukosa nafasi walikua wengi. Sasa Simba wasiwaige Yanga wao Simba wanaitaji promo nyingi.
 
Wewe ndio unafanya propaganda

Unajua turn out ya Mashabiki itakuwa ndogo...hivyo ameajiaanda ikitokea hivyo Ili useme kuna watu walikuwa wanafanya kampeni dhidi ya viongozi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Utopolism wa kiwango cha juu wewe. Simba kubwa kuliko yeyote, watapita wote lakini simba itakuwepo.
 
Kujaza uwanja Simba day ni muhimu pia ila sio malengo makuu ya Simba kama club,Simba tunataka ifanye vizuri ndani na kimataifa.
 
Nachojua hata kama akihudhuria mtu mmoja sherehe ya Simba day itaendelea kubakia palepale,waendelee na mchakato wa maandalizi tu bila kujali kujaa au kutokujaa kwa uwanja kwani hiyo ni siku maalum ya klabu kama klabu na ni endelevu kwani itakuwepo kila mwaka
 
Wewe ndio unafanya propaganda

Unajua turn out ya Mashabiki itakuwa ndogo...hivyo ameajiaanda ikitokea hivyo Ili useme kuna watu walikuwa wanafanya kampeni dhidi ya viongozi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Hivi hata wakija kidogo kwani ndio lengo kuu la mwaka huu, lengo ni makombe sio Simba day. Wajaze wasijaze Manara akubali simba imeachana naye.
 
Acha uongo, Manara japo Mimi binafsi sijawahi penda namna anavyo zungumza ila alikua anaushawishi binafsi ku ujaza uwanja. Ata usipo ujaza Ila watu uwa wakutosha.

Mashabiki wa Simba ni watu wazima japo u mbumbumbu ni sehemu ya DNA yao wanajua mchango wa Manara katika hamasa, Ule ni uwezo wake Haji.

Kwasasa amesha ondoka mliobaki onyesheni uwezo wenu katika kuhamasisha msitafute huruma na kumfitinisha Haji na Wanasimba.

Kama mnafikiri Haji hakua na mchango wowote katika kuhamasisha mashabiki nyinyi mliobaki tumieni ushawishi au acheni kwakua mashabiki watajaa bila hamasa.
manara hayupo sasa tuine kama uwanja hautojaa
 
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja.

Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa yeye ndio Simba alikua anaibeba kitu ambacho wanataka mvurugano uendelee kuwepo kusiwe na mshikamano ili iwe rahisi kwa Yanga kuchukua ubingwa.

Katika hilo hata Manara mwenyewe anahusika ili ajitengenezee brand na watu wamuone yeye ndio yuko sahihi kuliko uongozi hiyo kutuma clip kujitetea kuwa alichotuma hakihusiani ni uongo kwani alimaanisha kuhusu Kamwaga ila ishu imebuma anajitetea tu.

Wanasimba tuwa makini kipindi hiki viongozi watazushiwa mengi ili ionekane haufai na mashabiki wasiwe na iman na uongozi wao.

Shime shime mwana Msimbazi siku ya Simba day tuujaze uwanja ili kuwaziba midomo na kuona sisi tupo pamoja na uongozi na wachezaji wetu na ipendeni timu yenu 🪀🥏❤️🇹🇿
Mfa maji haachi kutapatapa. Halafu mbona muda mwingi nikiangalia Azam Tv naona promo ya Siku ya Wananchi pekee kwenye kisimbuzi chao!!

Kulikoni sioni promo ya Mbumbumbu Day!!! Azam Media ndiyo Baba Lao!! Mkimuendekeza Moo atawapeleka shimoni! Shauri zenu. Usikute amewadanganya mrushe matangazo yenu kupitia Dstv isiyo angaliwa na Watanzania walio wengi, kama ilivyo kwa Azam.
 
Back
Top Bottom