DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Muonekano wa mtu ni akisi ya namna anafikiria.
Mkuu umejuaje kuwa bwana Yesu alikuwa na nywele ndefu?Huyu Jamaa kapitia Mengi na sidhani kama ana fake kazi ya Mungu.
Kama ni mademu au Bata kala kuliko wengi,kama umemfuatilia tangu akiwa Longombaz na mwenzake ambaye ashatangulia mbele za Haki itoshe kusema tusikimbilie kuhukumu mtu Kwa mwonekano,Kama ni nywele hata Bwana Yesu alikuwa na nywele ndefu angeamua kusokota mngemwita muhuni?How dare you.
Aliangalia mkanda wa yesu wa VHSMkuu umejuaje kuwa bwana Yesu alikuwa na nywele ndefu?
Watato..mbe....waWenye majini wataombewa?
Hata usishangae 😂🤣Maisha yanaenda kasi sana kwa mila zetu za Kitanzania sidhani kama ni sahihi kwenda kuombewa na mtu akiwa hivi eti nabii!
kaangalia zile picha za kubuni na zile filamu za kina brian deacon na jimmy caviazelli ndiyo naye anaamini yesu alikuwa vile. Yesu gani wa kwenye zile picha anakula kuku shavu dodo?Mkuu umejuaje kuwa bwana Yesu alikuwa na nywele ndefu?
NOT TRUE, hata kidogo. Dont judge or stereotype ni kosa kubwa sana tena sana ktk maisha yako.muonekano wa nje unaakisi kilichomo ndani, ki saikolojia ina athari
Biblia imekwisha sema kimjaacho mtu ndicho kimtokacho. So kama unabisha na biblia sawa hatuna cha kukusaidia tenaSio kweli ndo maana huwa mnaibiwa Kwa kudanganywa na outlook ya MTU mwonekano Wa nje ni Kama kava la simu tu kuna watu they dress decent Ila wanafanya mambo machafu Sana even in my family
Hata kama mkuu ndo atwambie ana namba za whatsapp za Yesu?We unatazama mwonekano Wa nje tu
unabisha nini hiyo iko hivyo, huwezi kuji brand tofauti na ulivyo ndaniNOT TRUE, hata kidogo. Dont judge or stereotype ni kosa kubwa sana tena sana ktk maisha yako.
unaenda kuwekewa mikono kumbe unapandikiziwa mapepo mabaya. Hii kuombewa kwa kuwekewa mikono na watumishi wa mungu ni kujihadhari sana, wengine si watumishi wa mungu ni maajenti wa shetaniHaihitaji hata kuwa na Roho Mtakatifu kujua kuwa LGBTQ iko nyuma yake
Nendeni miapandikiziwe ushoga bila kujijua maana ujinga na upumba hamutaki kuuacha
View attachment 2836284