Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

Umesahau kwamba ni mweusi. Toka Papa Petro hadi hadi anayesimamia Vatican kwa sasa umeshawahi kuona ngozi nyeusi?
 
Ila Rugambwa yupo kwenye Conclave tayari na ameenda
Concrave anaingia kufanya nini???🀣🀣🀣 Hata mazishi bado!!
Gentleman acha kulinganisha siasa za mia mbili mia mbili na mambo bya kanisa Katoliki,hapa tuachie wenyewe, wewe endelea na habari za MAMA ANAYEUPIGA MWINGI πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Hopefully you do understand my friend Gentleman πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.

Naomba kuuliza kama unaweza kufahamu uchaguzi wa rais wa baraza la Maaskofu, huwa ni zamu labda la jimbo hili au kuna kuwa na kupiga kura?
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.

Naomba kuuliza kama unaweza kufahamu uchaguzi wa rais wa baraza la Maaskofu, huwa ni zamu labda la jimbo hili au kuna kuwa na kupiga kura?
Swali lako limeenda kushoto nyoosha maelezo upewe jibu
 
Hakuna papa mweusi. Hapo ndio mtawajua wazungu roho zao ndaaani kabisa.
 
Wewe Kibwengu acha ubishi yupo tayari huko kashaenda.
By virtue of being Cardinal ni lazima awepo kwenye huo mchakato. Kwahiyo kitendo cha yeye kuhudhuria sio jambo la kustaajabisha na kuja la jibu la moja kwa moja kuwa yeye ndiye, bali yeye ni sehemu ya washiriki halali wa huo mchakato.
 
Hamna prediction hapo unapotosha, ni maongozi ya Mungu roho matakatifu sio vinginevyo!!!


Acha kupotosha
 
Subiria muda utaongea Kibwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…