Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

Kama kumrithi Papa wa baharini, sawa
 
Fat chance!

Nitashangaa wakimchagua some low profile bubu na kiziwi whom nobody has ever heard of.

Hizi nafasi za kidunia ni za kisiasa, ki aidiolojia.

Wazungu huwa hawachagui jitu hawajawahi kulisikia lina misimamo gani, lina fikiri nini, limefanya nini, and so forth. Sio jitu lolote tu kama uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu wa Nishati. Nobody knows why him.

Rugambwa has no chance in hell. Yule Askofu anaezunguka na mikutano ya CHADEMA, the skinny one or the fat one, has more chance than this Rugambwa guy. God knows what this guy is thinking. Assuming he ever does.
 
HAPO HAKUNA WARAKA WA TEC WA KULAZMISHA SIJUI RUGAMBA KUTEULIWA..
TULIZEN MISHONO
 
We kweli kitunguu,Protase amekaa Vatican miaka mingi kwenye idara nyeti ya uinjilishaji duniani af unasema who knows him,we kapande ndege bila passport maana ndo zenu
 
Acha kumharibia
 
Tumsifu Yesu Kristu
 
Wazungu safari hii watawaonea huruma nyani wa Afrika wawaongoze.
Kwa kuwa kuna uamsho mkubwa sana dhidi ya hizi dini hivyo itabidi wawape hicho cheo wasipoteze maslahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…