Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine.
**Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais (Mstaafu).

2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua taratibu zake zipoje?

3. Je Ile sheria ya Viongozi kuzikwa Dodoma ilipita Bungeni?
 
Hakuna Sheria Iliyopitishwa Kuhusu Viongozi Kuzikwa Dodoma
Jiwe Akiwa Madarakani Alisema Yaani Nizikwe Dodoma Halafu Fisi Wa Watani Zangu Wagogo Waje Wacheze Juu Ya Kaburi Langu Hapana
Kila Mtu Akazikwe Anapopataka
 

Sijui historia imenipita pembeni!! Nilijua Rashid Mfaume Kawawa alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu!! Poor me!!
 
Jiwe alizungushwa majiji yote ndipo akazikwa, walifupisha kwa kuwa aliua watu, alipora mali za watu, aliteka watu na kupiga watu risasi.

Sasa kwa huyu waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa kwa kuwa alikuwa mtu wa watu atazungushwa mikoa yote na wilaya zote ndipo azikwe.

RIP Edo
 
Nani akubali kuzikwa sehemu ambayo hakuzaliwa na ana kwao?
 
Rashidi Mfaume Kawawa alikua waziri wa elimu sio na sio waziri Mkuu wa Tanganyika na baadae JMT kama hutaki kumskia Moringe Sokoine 🐒
 
Hawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
  1. Rashidi Kawawa
  2. Amir H. Jamal **
  3. Edward Moringe Sokoine
  4. Cleopa Msuya
  5. Salim Ahmed Salim
  6. Joseph Warioba
  7. John Malecela
  8. Cleopa Msuya
  9. Frederick Sumaye
  10. Edward Lowassa
  11. Mizengo Pinda
  12. Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
 
Aisee una maana Salim Ahmed Salim kashafariki?. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…