Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

Waraka wa Utumishi no.3 wa mwaka 2002 Ukisomwa pamoja na Kanuni Za kudumu za utumushi wa Umma mwaka marekebisho ya mwaka 2009 (Standing order of Public servants 2009) pamoja na Kanuni za Utumishi wa umma zanzibar za mwaka 2014..

Sheria ya Mfuko wa jamii kwa watumishi wa Umma (Wastaafu) sheria namba 2 ya mwaka 2018 na zingine pia
Shukrani sana mkuu
 
Hawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
  1. Rashidi Kawawa
  2. Amir H. Jamal **
  3. Edward Moringe Sokoine
  4. Cleopa Msuya
  5. Salim Ahmed Salim
  6. Joseph Warioba
  7. John Malecela
  8. Cleopa Msuya
  9. Frederick Sumaye
  10. Edward Lowassa
  11. Mizengo Pinda
  12. Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
Nyerere pia alikua waziri mkuu na Rais wa kwanza wa Tanganyika.
 
CHADEMA na ACT wazalendo hatimae wamekumbukwa
 
Hawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
  1. Rashidi Kawawa
  2. Amir H. Jamal **
  3. Edward Moringe Sokoine
  4. Cleopa Msuya
  5. Salim Ahmed Salim
  6. Joseph Warioba
  7. John Malecela
  8. Cleopa Msuya
  9. Frederick Sumaye
  10. Edward Lowassa
  11. Mizengo Pinda
  12. Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
Amir Jamal hajawahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania labda kama ni nchi nyingine.
Waziri Mkuu wa kwanza ni Julius Nyerere sema uwaziri mkuu wake ulikuwa wa ukuu wa nchi yaani Waziri mkuu mtendaji.
 
Back
Top Bottom