DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
TayrFanta chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TayrFanta chap
Waziri Mkuu wa kwanza alikua Nyerere kuanzia 9 Decemba 1961 hadi alipojiuzulu 22 Januari 1962 na kumwachia Kawawa ili yeye aende kuimarisha TANU mikoaniHawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
- Rashidi Kawawa (1962–1967)
- Amir H. Jamal (1967–1972)
- Edward Moringe Sokoine (1972–1980)
- Cleopa Msuya (1980–1983)
- Salim Ahmed Salim (1984–1985)
- Joseph Warioba (1985–1990)
- John Malecela (1990–1994)
- Cleopa Msuya (1994–1995)
- Frederick Sumaye (1995–2005)
- Edward Lowassa (2005–2008)
- Mizengo Pinda (2008–2015)
- Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
Nyerere Hakujiuzuru Mkuu!Waziri Mkuu wa kwanza alikua Nyerere kuanzia 9 Decemba 1961 hadi alipojiuzulu 22 Januari 1962 na kumwachia Kawawa ili yeye aende kuimarisha TANU mikoani
Kifo hakina protocol, msiba wowote ni wa familia husika, wengine kazi yao ni michango tu.1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine.
2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua taratibu zake zipoje?
3. Je Ile sheria ya Viongozi kuzikwa Dodoma ilipita Bungeni?
TzSokoine alikua Waziri Mkuu wa nchi gani...!!?
Anza kufuatilia tar 13 nimesikia kwenye taarifa ya habari ndo kutakuwa na hizo Taratibu kiserikali!1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine.
2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua taratibu zake zipoje?
3. Je Ile sheria ya Viongozi kuzikwa Dodoma ilipita Bungeni?
No. 1 uko sahihi. No. 2 hakuwahi kuwa waziri mkuu. No.3, rejea mleta mada anazungumzia mstaafu Sokoine alifariki akiwa kazini, hakuwa amestaafu.Hawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
- Rashidi Kawawa (1962–1967)
- Amir H. Jamal (1967–1972)
- Edward Moringe Sokoine (1972–1980)
- Cleopa Msuya (1980–1983)
- Salim Ahmed Salim (1984–1985)
- Joseph Warioba (1985–1990)
- John Malecela (1990–1994)
- Cleopa Msuya (1994–1995)
- Frederick Sumaye (1995–2005)
- Edward Lowassa (2005–2008)
- Mizengo Pinda (2008–2015)
- Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
No.2 au Amiri Habib Jamal Alikuwa Mgujarat na waziri na pia alikuwa Mbunge wa Morogoro kutoka mwaka 1960 mpaka 1985..No. 1 uko sahihi. No. 2 hakuwahi kuwa waziri mkuu. No.3, rejea mleta mada anazungumzia mstaafu Sokoine alifariki akiwa kazini, hakuwa amestaafu.
Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu...No.2 au Amiri Habib Jamal Alikuwa Mzungu na waziri na pia alikuwa Mbunge wa Morogoro kutoka mwaka 1960 mpaka 1985..
Sema nimesahau kuandika mwaka vizuri lakini nahisi kati ya mwaka 83 mpaka 85 alikuwa waziri asiye na wizara maalumu maana yake alikuwa waziri mkuu Na aliweza kufanya kazi wizara yoyote
alichukua Uwaziri mkuu kwa Mda mfupi sana..
Kabla hajaPewa uwaziri wa Fedha mpaka mwaka 1985 na bado alibaki kuwa Mwakilishi wa Tanzania UN mpaka anapofariki mwaka 1995
View attachment 2901062
View attachment 2901063
Kabla ya Salim Ahmed Salim,...yaani 1984 waziri mkuu alikuwa tena Moringe Sokoine. Sokoine alikuwa waziri mkuu vipindi viwiliHawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
- Rashidi Kawawa (1962–1967)
- Amir H. Jamal (1967–1972)
- Edward Moringe Sokoine (1972–1980)
- Cleopa Msuya (1980–1983)
- Salim Ahmed Salim (1984–1985)
- Joseph Warioba (1985–1990)
- John Malecela (1990–1994)
- Cleopa Msuya (1994–1995)
- Frederick Sumaye (1995–2005)
- Edward Lowassa (2005–2008)
- Mizengo Pinda (2008–2015)
- Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
OkKabla ya Salim Ahmed Salim,...yaani 1984 waziri mkuu alikuwa tena Moringe Sokoine. Sokoine alikuwa waziri mkuu vipindi viwili
atazikwa kama viongozi wa juu wa serikali hata kama alikuwa mstaafu;1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine.
2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua taratibu zake zipoje?
3. Je Ile sheria ya Viongozi kuzikwa Dodoma ilipita Bungeni?
OkKabla ya Salim Ahmed Salim,...yaani 1984 waziri mkuu alikuwa tena Moringe Sokoine. Sokoine alikuwa waziri mkuu vipindi viwili
Amir Jamal hakuwahi kuwa Waziri Mkuu...Rejea tena rekodi zako za kihistoria...Vile vile hakuwa "mzungu"....alikua ni mtanzania mwenye asili ya Asia.....No.2 au Amiri Habib Jamal Alikuwa Mzungu na waziri na pia alikuwa Mbunge wa Morogoro kutoka mwaka 1960 mpaka 1985..
Sema nimesahau kuandika mwaka vizuri lakini nahisi kati ya mwaka 83 mpaka 85 alikuwa waziri asiye na wizara maalumu maana yake alikuwa waziri mkuu Na aliweza kufanya kazi wizara yoyote
alichukua Uwaziri mkuu kwa Mda mfupi sana..
Kabla hajaPewa uwaziri wa Fedha mpaka mwaka 1985 na bado alibaki kuwa Mwakilishi wa Tanzania UN mpaka anapofariki mwaka 1995
View attachment 2901062
View attachment 2901063
Wakwanza kabisa alikuwa ni Mwalimi Julius Kambarage Nyerere, ambaye alishika wadhifa huo kwa muda wa siku 45 tuu, kaisome histsoria vyema ndiyo uje kuandika tena hapa mkuuHawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
- Rashidi Kawawa (1962–1967)
- Amir H. Jamal (1967–1972)
- Edward Moringe Sokoine (1972–1980)
- Cleopa Msuya (1980–1983)
- Salim Ahmed Salim (1984–1985)
- Joseph Warioba (1985–1990)
- John Malecela (1990–1994)
- Cleopa Msuya (1994–1995)
- Frederick Sumaye (1995–2005)
- Edward Lowassa (2005–2008)
- Mizengo Pinda (2008–2015)
- Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
Amir Habib Jamal sidhani kama aliwahi kuwa waziri mkuuHawa ndo mawaziri wakuu Wa Tanganyika na Tanzania tangu mwaka 1962 Tanganyika ilipokuwa Jamhuri
WAliofariki ni 1,2,3, na 10 kafa sasa..
- Rashidi Kawawa (1962–1967)
- Amir H. Jamal (1967–1972)
- Edward Moringe Sokoine (1972–1980)
- Cleopa Msuya (1980–1983)
- Salim Ahmed Salim (1984–1985)
- Joseph Warioba (1985–1990)
- John Malecela (1990–1994)
- Cleopa Msuya (1994–1995)
- Frederick Sumaye (1995–2005)
- Edward Lowassa (2005–2008)
- Mizengo Pinda (2008–2015)
- Majaliwa Kassim Majaliwa (2015–mpaka sasa)..
Ina maana ina maana kwa wote hao hukuona mazishi yao?
Amiri Jamal alizaliwa na wazazi wa Ki Gujarati au unaweza ukasema Wahindi wa Asili au wahindi mama yake aliitwa Kulsum Thawer na baba yake Habib Jamal, ambaye ndo mwanzilishi wa Asian Association..Amir Jamal hakuwahi kuwa Waziri Mkuu...Rejea tena rekodi zako za kihistoria...Vile vile hakuwa "mzungu"....alikua ni mtanzania mwenye asili ya Asia.....
Sikuwa na haja ya kumuandika Nyerere kwa sababu kipindi anakuwa Waziri Mkuu Tanganyika haikuwa Jamhuri ilkuwa ni Jimbo la UingerezWakwanza kabisa alikuwa ni Mwalimi Julius Kambarage Nyerere, ambaye alishika wadhifa huo kwa muda wa siku 45 tuu, kaisome histsoria vyema ndiyo uje kuandika tena hapa mkuu