Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Wewe ao wote umewaona wapi? Ukajua 85% ni wabaya,...na leta picha,
 
mkuu huo utafiti ni kama ni kweli, kwa wale wadukuzi na esp wale wanaofanya kazi za kusaidia kwenye dep za IT, kwa vile wana access ya ku run logs... wanawajua karibia user wote wa ofisini wanaotumia jf, kazi yao ni kufuatilia pm na dashboard... n smtimes attitudes zao...

mtoa mada pokea like ya maandishi

ingawa kuna ambao wapo decent.. wazuri.. sio waropokaji... wasikilizaji shape na sura zao ni tulivu hata wakicheka wanacheka kwa aibu... hao ni asilimia 15 tu
 
Mkuu inaonekana umenielewa vizur sana_,___________________
,,[emoji106] [emoji106] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli.........mie nilipatana na mrembo humu....yuko poa....portable....kwa mie mhaya nilishangaa.......maana yuko dar ila kitu wet kidogo nipige katerero......nampenda mpaka leo. Najua atapita hapa. My dear N nakupendaga tu hadi leo we hujui ila utakuwa unajua.
 
Siwezi kusema au kuchangia chochote. Sijawahi hata cku moja kukutana na dem yoyote wa humu ndani(jforum). Wadada mnitafute tuonane ili niweze kuwatetea.

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Prove you are right first, before u ask us to prove u wrong.
 
Mkuu futa kauli,humu kuna visuuuu ohooo!!!

Niliwahi onana na mmoja aisee ni beautiful yule dada, ilibidi nimwambie sijiwezi kwako nifanye chochote.
Halafu alikufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…