digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kuakikishia umma uyo olaipa ni moja kati ya 15% iliobaki ukiondoa awa wabaya ?
Mkuu inaonekana umenielewa vizur sana_,___________________mkuu huo utafiti ni kama ni kweli, kwa wale wadukuzi na esp wale wanaofanya kazi za kusaidia kwenye dep za IT, kwa vile wana access ya ku run logs... wanawajua karibia user wote wa ofisini wanaotumia jf, kazi yao ni kufuatilia pm na dashboard... n smtimes attitudes zao...
mtoa mada pokea like ya maandishi
ingawa kuna ambao wapo decent.. wazuri.. sio waropokaji... wasikilizaji shape na sura zao ni tulivu hata wakicheka wanacheka kwa aibu... hao ni asilimia 15 tu
Mmmh kumbeAm not intersting in love, am interesting in hate.... love makes a man weak but hate makes him strong
Sio kweli mzee mchezo only no uziri wa mchezo na uwanja uwe wa ukwel mkuu
Sio kweli.........mie nilipatana na mrembo humu....yuko poa....portable....kwa mie mhaya nilishangaa.......maana yuko dar ila kitu wet kidogo nipige katerero......nampenda mpaka leo. Najua atapita hapa. My dear N nakupendaga tu hadi leo we hujui ila utakuwa unajua.Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
mmhOngezea.. "15% ya ladies ya JF ni wanaume"
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Prove you are right first, before u ask us to prove u wrong.Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Halafu alikufanyaje?Mkuu futa kauli,humu kuna visuuuu ohooo!!!
Niliwahi onana na mmoja aisee ni beautiful yule dada, ilibidi nimwambie sijiwezi kwako nifanye chochote.