Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Hivi huwa mna waona wapi? Mimi tu ndiye sijapata bahati ya kuwaona

Hili gundu hili mwee
 
Ila hapo kwenye takwimu umepunja izo asilimia mkuu.Tafiti zakimataifa zinasema ni asilimia 97% mkuu rekebusha hapo mkuu twende sawa.
 
Tena kama wale wa ccm sura kama anakula limao au ndimu

Swissme
we nae una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia, kwa akili yako unajua ccm ni concrete matter unayoweza kuipima kwa vizio fulani,
ndugu, ccm, chadema, nccr mageuzi, act wazalendo, n.k ni imani zilizojijenga chini ya falsafa za kisiasa, ccm haiwezi ikawa na watu wake kwa misingi ya vinasaba, watu ni walewale, imani tofauti..
Don't hate too much others who differ with you in terms of political philosophies!! take it normal
 
Hongera kwa kushika pembe wachinjaji wanakuchora tu.
 
Hizo takwimu za kuonyesha dada zetu ni ugly umezitoa wapi.

Ebu kuwa na adabu bas kwa dada zetu. Mwezi mpya ndio kwanza umeanza. Halafu unaanza kuwaletea dada zetu uchuro. Iwe mwanzo na mwisho kudhihaki dada zetu.



jje'
sakayo
paprika
Mahondaw
Shunie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…