Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Mkuu futa kauli,humu kuna visuuuu ohooo!!!

Niliwahi onana na mmoja aisee ni beautiful yule dada, ilibidi nimwambie sijiwezi kwako nifanye chochote.
 
wanaume 97%
humu watu wamejificha sana nyuma ya keyboard...
naweza kukubaliana na mleta uzi visura vyetu vichungu kama maganda ya limao
afu umri umeenda...
ila shusha mpaka 70% atleast
 
Kweli ebu wadiriki kutoa picha zao zinazoonyesha maumbo na sura, tunasubiri..😉
 
Sidhani kama aliyeleta huu uzi ni mwamaume kakamilika kama amekamilika basi atakuwa kibamia...
 
Vimeo ndiyo wengi, na hutumia jf kujifariji na vimaneno vyetu tukiwaita love huko mtaani kwao walishikataliwa kitambo...!
 
Back
Top Bottom