Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_

*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*

*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*

*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
 
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...

Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....

Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]

JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Pamoja na hilo hatujali [emoji4]
 
Sio kweli mkuu, sema wewe haujakutana nao aiseeeeee.......
Jf kuna visu vya hatari....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mkuu kwani nia yako ya kujiunga hapa Jf ni nini haswa mpaka inapelekea kuchunguza sura za wadada?
 
Mleta uzi mwenyewe hajui hata kuandika, sasa unampa kazi kubwa tena ya kukusasanya takwimu. Hata takwimu yawezekana hajui ni kitu gani!
[emoji2] huu ndio ule usemi usemao nyani haoni .......[emoji2] [emoji2] [emoji3]
 
Back
Top Bottom