Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...

Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....

Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]

JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Prove yourself right!!!!
 
Nini kinakuthibitishia?
Tangu nimekua joined umu mbaka Leo nimekutana na wanawake 22 wa umu jf kati ya awo watatu tu ndio niliwaona wazuri na sio mimi tu maana ninapokutanaga na msicha mgeni uwa naenda na clue yangu ya mtu kama tatu ivi ili kumuua confidence kabisa mlegwa na kama anafaa ndipo tunaacha na clue yangu ile si tunaendelea na shughuri ambayo imetukutanisha ...
Kwa kigezo iko unaweza pata picha kidogo lakin utafit ukufanyika kwa kigezo icho tu vipo vingi ila iko ndicho no1

Note: Nakutanaga nao katika harakati za business na sio kugegedana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
We utakua umetokea mirembe si bure
 
Nilishawai kupiga binti wa humu ndani,kiukweli sio mzuri ila kwakuwa niliyavulia maji nguo ilinibidi kuyaoga,naunga mkonyo hoja
Yani umepiga mmoja alafu unahitimisha kwamba wote wako hvyo c ndio!!???
Tutake radhi wengine hatuna sura ngumu kama futari ya magimbi
 
umekuja kuuza sura humu ?
Mkuu juzi kuna hoja ya kuwapiga wanawake makofi ili wanyooke uliunga mkono asilimia 100,hii mbona unafyata mkia? au kwa sababu ya fulani yule ambae ID yake inaanza na e??[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mimi huwa sina kazi na sura nzuri wala urembo, kama chura ipo inatosha!
 
wanaume 97%
humu watu wamejificha sana nyuma ya keyboard...
naweza kukubaliana na mleta uzi visura vyetu vichungu kama maganda ya limao
afu umri umeenda...
ila shusha mpaka 70% atleast
Kama chura ipo bado unalipa mwaya!
 
Wanao itanana wapenz ni utani tu wa humu au ni kweli washawah kuonana kama utani na mie niuanze...kwa mtu fudenke
 
Hizo takwimu za kuonyesha dada zetu ni ugly umezitoa wapi.

Ebu kuwa na adabu bas kwa dada zetu. Mwezi mpya ndio kwanza umeanza. Halafu unaanza kuwaletea dada zetu uchuro. Iwe mwanzo na mwisho kudhihaki dada zetu.



jje'
sakayo
paprika
Mahondaw
Shunie.
Wala hajakosea!!! Sisi wabaya ila yeye kazidi ubaya!!! Kama anajiamini aweke picha [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom