M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
inasemekana wazuri hawapendi kujificha kwa ID feki.Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
huwaga wana-prefer ku-flaunt uzuri wao kule Instagram, Facebook, etc.