Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...

Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....

Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]

JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
inasemekana wazuri hawapendi kujificha kwa ID feki.
huwaga wana-prefer ku-flaunt uzuri wao kule Instagram, Facebook, etc.
 
Then wanawake wote wabaya kwa sura obviously hupendelea kuweka avatar ya Maua, Midori ,au kaurembo flani,
Then hupenda kuweka avatar za mastaa, jamani msiwe na hofu ya kutopendwa kila mtu ameshaandaliwa mtu wake muache Cu kopy lifee
 
Na mtuacheee!
 
huo muandiko tu unaonyesha we ni wa namna gani
 
Humu wema, jokate, Nancy,jaq mengi, faraja kota wote wamo humu....hata millian Hassan nusu mbongo nusu msomali nae yumo.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Tuanze na wewe mtoa mada...... Picha yako tafadhali.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom