Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wakuu huu ukweli uwaweke huru.
"Bongo bila kukata kamba hutoboi"
"Bongo bila kukata kamba hutoboi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje hayo yote?Unataka kuwalazimisha Wanyakyusa wakate govi ili watoboe? Never ever!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kukata kamba ndiyo mchezo gani huo?
😃😃😃😃😃😃😃😃Naye anaweza kujikatia kamba tu. Yawezekana hata wewe umeshaikata tayariNilikuwa sijakuelewa, vip kwa mwananchi wa kawaida ambaye hajafungwa hiyo kamba akate nini?
asante kwa fafanuzi maana nilitoka kapaAnamaanisha Sisi waajiriwa bila kuiba hutoboi!
tupe maana Meneja Wa Makampuni"Bongo bila kukata kamba hutoboi"