Proved: Bongo bila kukata kamba hutoboi

Proved: Bongo bila kukata kamba hutoboi

Kama unashindwa kufafanua weka hata kapicha basi .
 
Kukata kamba akili yangu ilifikiria kudead..😂😂jamani
 
Wanasemaga ; mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake sasa assume mbuzi asiyekuwa na kamba atakula kwa urefu mkubwa kiasi gani? Uoga uoga, kuwa na roho ndogo na kuhofia hatari ni kufungwa kamba bila kujijua , wanasemaga take action, even when it‘s scary ( chukua hatua hata kama inaogopesha “ inatisha ).. yaani ukiwa jasiri automacal unakuwa ni mwenye nguvu na then wenye power ndio huwa ni wafalme , watawala na viongozi hauwezi kuwa na uthubutu kama unatawaliwa na uoga na hofu ya kutosha.. ukitaka uwe juu yaani uwe na unamiliki vitu vikubwa mali”magari, majumba , biashara na fedha za kutosha lazima uwe jasiri na mwenye uthubutu ndio kumaanisha kuwa kukata kamba yaani usipokata kama hauna uthubutu ni muoga na umejawa na hofu.. Asante
 
Back
Top Bottom