Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.

Inakuwaje chadema inakuwa na viongozi wanaokurupuka kiasi hiki, chama makini kilipaswa kutoa tamko watu walale waache kumsikiliza AI kwani huwa Kuna upotoshaji mkubwa Sana,

Sasa ndo kwanza viongozi wa chadema walitangaza kumsamehe polepole wasijue wanaongea na AI hawajiulizi kwann hawakujibiwa., hii ni dhahiri kwamba chadema haina viongozi fanyen mpango mpate viongozi waadilifu kwa Chama na kwa Taifa.
 
Rudisha buku saba ya rostam na wahuni watakusafisha mtaro.
IMG_2205.jpeg
 
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tukitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.

Inakuwaje chadema inakuwa na viongozi wanaokurupuka kiasi hiki, chama makini kilipaswa kutoa tamko watu walale waache kumsikiliza AI kwani huwa Kuna upotoshaji mkubwa Sana,

Sasa ndo kwanza viongozi wa chadema walitangaza kumsamehe polepole wasijue wanaongea na AI hawajiulizi kwann hawakujibiwa., hii ni dhahiri kwamba chadema haina viongozi fanyen mpango mpate viongozi waadilifu kwa Chama na kwa Taifa.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO/POLIS ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
 
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.

Inakuwaje chadema inakuwa na viongozi wanaokurupuka kiasi hiki, chama makini kilipaswa kutoa tamko watu walale waache kumsikiliza AI kwani huwa Kuna upotoshaji mkubwa Sana,

Sasa ndo kwanza viongozi wa chadema walitangaza kumsamehe polepole wasijue wanaongea na AI hawajiulizi kwann hawakujibiwa., hii ni dhahiri kwamba chadema haina viongozi fanyen mpango mpate viongozi waadilifu kwa Chama na kwa Taifa.
kumbe wewe takataka
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO/POLIS ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
Ndo maagizo ya akina mange kimambi hayo syo....mmeshindwa vibaya sana
 
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.

Inakuwaje chadema inakuwa na viongozi wanaokurupuka kiasi hiki, chama makini kilipaswa kutoa tamko watu walale waache kumsikiliza AI kwani huwa Kuna upotoshaji mkubwa Sana,

Sasa ndo kwanza viongozi wa chadema walitangaza kumsamehe polepole wasijue wanaongea na AI hawajiulizi kwann hawakujibiwa., hii ni dhahiri kwamba chadema haina viongozi fanyen mpango mpate viongozi waadilifu kwa Chama na kwa Taifa.
Mmmhatarii
 
Sababu ni nn

Ni kweli hakuna absolute truth kwa mwanadam yoyote yule.
Lakini hata katika uongo huwa kuna elements of truth.

Sasa katika yanayozubgumzwa juu ya taifa letu na watu kama akina Dr. Slaa, God bless lema , TL, na wana harakat wengine wote tuseme hukuyaelewa. ...
Sasa kiongozi hata polepole naye usimwelewe.??

Kama huna uelewa kiasi hicho unapata wapi legitimacy ya kuchangia mawazo sehem muhim kama hizi za jf af moderators wanakuangalia tu. ??

Nb: sorry sija edit mwandiko
 
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.

Inakuwaje chadema inakuwa na viongozi wanaokurupuka kiasi hiki, chama makini kilipaswa kutoa tamko watu walale waache kumsikiliza AI kwani huwa Kuna upotoshaji mkubwa Sana,

Sasa ndo kwanza viongozi wa chadema walitangaza kumsamehe polepole wasijue wanaongea na AI hawajiulizi kwann hawakujibiwa., hii ni dhahiri kwamba chadema haina viongozi fanyen mpango mpate viongozi waadilifu kwa Chama na kwa Taifa.
You are so stupid to deserve a reply
Idiot
 
Hata sisi hatuna imani na Kimbesa11 may be hata huu uzi ni wa AI šŸ˜Ž
 
Back
Top Bottom